Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

taifa moja muwakilishi mmoja ccm moja

1599914592658.png
 
Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.

Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;

Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole

facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM

Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania

Instagram: @ccmtanzania

#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020

View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.

View attachment 1567322
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakiwa njiani kuelekea katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti kushuhudia uzinduzi wa Kampeni


FUATILIA MATANGAZO MUBASHARA KUPITIA LINK HII;
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 1.07.55 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 1.07.55 PM.jpeg
    103.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 1.08.35 PM.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 1.08.35 PM.jpeg
    113.8 KB · Views: 2
Mimi ni mjumbe wa ccm Zanzibar, kiukwwli bila kufikicha maneno Dr H Mwinyi wengi hatumtaki na kutoboa kwake kunategemea mbeleko ya ZEC
Hii si sababu wala usidhani kuwa utaweka uzito kwa kusema ni mjumbe, usitumie mgongo wa mwingine kutoa mawazo yako.Mwinyi anakwenda kushinda uchaguzi huu ikiwa maadili, uchapakazi na hekima ndizo silaa kubwa
 
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia link hizi hapa chini..

YouTube



Twitter



Facebook

 

Attachments

  • EhtpaXbWAAI1Mxr.jpg
    EhtpaXbWAAI1Mxr.jpg
    96.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.55(1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.55(1).jpeg
    95 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.55.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.55.jpeg
    93.9 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.10(1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.10(1).jpeg
    70.2 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.56.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.56.jpeg
    88.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.57.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.15.57.jpeg
    77.4 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.08.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.08.jpeg
    117.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.09(1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.09(1).jpeg
    122.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.09.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.09.jpeg
    111 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.10.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.07.10.jpg
    100.1 KB · Views: 2
  • EhtmkUQWsAE_9gh.jpg
    EhtmkUQWsAE_9gh.jpg
    89.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.49.18.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.49.18.jpeg
    137.4 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.53.23.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.53.23.jpeg
    87.2 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.24.17.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.24.17.jpeg
    110.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.24.18.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.24.18.jpeg
    96.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.32.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.32.jpeg
    121.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.34.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.34.jpeg
    116.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.35.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.35.jpeg
    111.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.36(1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.36(1).jpeg
    141.4 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.36.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.30.36.jpeg
    141.4 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.31.45.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.31.45.jpeg
    106 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.37.15.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.37.15.jpeg
    102.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.54.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.54.jpg
    125.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.53(1).jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.53(1).jpg
    126.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.53.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 14.18.53.jpg
    124 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 13.46.59(1).jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 13.46.59(1).jpeg
    108.3 KB · Views: 1
Mwinyi ni chaguo la Wanzanzibar, hakika anakwenda kutenda mema zaidi
Kama aisingelikuwa anachochea mchafuko wa amani Basi angekuwa na mapenzi mema na nchi hii, lakini kwa jinsi alivyoanza Mimi nilkuwa namkubali ila mpaka Sasa nimeshamtoa kwenye chati ya watu wenye sifa za kuwa raisi wa Tanzania
 
MWINYI kazaliwa MKURANGA, hajawahi kuishi ZANZIBAR.
Hatuwezi kutawaliwa na Rais kutoka Bara.

hana mvuto, hajui kuongea na hapendwi.
Sisi tupo na Maalim SEif
 
Back
Top Bottom