Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

Nimefatikia sera za cuf hawa kiasi fran wana hoja na sera tena wanatoa na takwimu kabisa
 
Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.

Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo.

Binafsi naiona hotuba hii inashika nafasi ya pili kwa ubora ya kwanza ikiwa ile iliyotolewa na Dr Magufuli pale uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Maendeleo hayana vyama!
 
Chadema ndio waasisi matusi majukwaani wanaleta shida

Mimi na familia yangu Siwezi kufungua t.v. niangalie mkutano wa chadema kwani matusi yamewajaa kinywani
Wewe upate wapi familia wakati wewe mwenyewe ni tegemezi?

Familia hiyo kwiyoooo.?
 
Kweli bwashee hamtoacha kuweweseka
Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.
Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo.

Binafsi naiona hotuba hii inashika nafasi ya pili kwa ubora ya kwanza ikiwa ile iliyotolewa na Dr Magufuli pale uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.
Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo.

Binafsi naiona hotuba hii inashika nafasi ya pili kwa ubora ya kwanza ikiwa ile iliyotolewa na Dr Magufuli pale uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Maendeleo hayana vyama!
Kwel bwashee hamtoacha kuweweseka
 
lipumba anatamani kujinyonga baada ya CUF kufa kifo cha mende zanzibar wakati ndio ilikua ngome yake
 
Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.

Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo.

Binafsi naiona hotuba hii inashika nafasi ya pili kwa ubora ya kwanza ikiwa ile iliyotolewa na Dr Magufuli pale uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Maendeleo hayana vyama!
For sure prof alikuwa ametulia

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu yaibe madini yetu
Rais Magufuli akatupigania Watanzania
Rais ni Pombe na we ni Bia kwanini mawazo unayotoa yasiwe ulevi!! Hivi aliye saini mikataba mikataba ya uchimbaji na haya makampuni na kuyapa grace period ya miaka 5 alikuwa Lissu.? Mbona unajitoa ufahamu au kwasababu we ni bia na yule ni pombe!!!!?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli amesimulia tu, hana jipya akichaguliwa

Back
Top Bottom