Utakua ni mgeni hapa chukua siti ukae ubaki kuwa mtazamaji
William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.
Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa.
Usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize
na kupoteza focus.
Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.
Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Haha eti makinikiaHa ha ha ha nliivoona title nikawaza msaga sumu sijamuona kitambo kumbe ndo yupo mtamboni lol
Nimesikia atakuwa anaonyesha jinsi ya kuhugg watatoz, mwanaume kuwa mbea, kuvaa same clothes for three years, kutotumia deodorant, kunuka mdomo kwa sababu anadai mwanaume anayejitambua hatakiwi kuwa msafi kisa eti mwanaume ni mtu wa kazi muda wote. Le Mutuz bwana.
William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.
Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa.
Usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize
na kupoteza focus.
Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.
Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Acha upumbavu.
Hapana bby yeye ndo ananiitaga mbebez wake ila mi walaaaaa..Ushakuwa baby wake tena!!!!!We mtoto sikuwezi
Kila la kheri kwako mkuu
- Kazi ya kujenga Studio inaendelea nategemea in the next 3 Weeks tutaanza majaribio ya kuruka hewani so stay tuned!
le Mutuz
Dunia gani, hii ninayoishi mimi na MVP wa Makinikia!!!!????William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.
Masaa mawili baada ya kutangaza tu,wakurugenzi wa TV zote Kubwa nchini walifanya vikao saa.
Usiku kuona ni jinsi gani wanamdhibiti kabla hajawa tatizo huku wengine wakishauri aongezewe namba za supa mbebezz rangi ya mtume wamkeep bize
na kupoteza focus.
Lemutuz ambaye anajulikana kwa kuajiri vijana waliomaliza chuo kikuu pekee amedai mipango yake miezi ijayo ni kuanza kuuza ving'amuzi ambavyo hivi vitakuwa tofauti kidogo na vingine kwani king'amuzi hiki kitakuwa na Chanel moja tu ya Lemutuz TV.
Mdau nini maoni yako katika mapinduzi haya?
Kila la kheri kwako mkuu
Nimependa pensi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nisindikize post kwa picha.
Yeuwii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna bao nyingine bora upige hewani tu kuliko kutoa toto kama hiyo nyumbu