Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

Itakuwa imefadhiliwa na BASHETE ili iwe SITTING ROOM yake.
 
Hata mimi nashangaa Mtaona ni kwa namna gani mambo kama haya yanatokea tu Tanzania.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo afadhali umependeza. Ile pensi nyingine mmh! Hopefully ulishaichoma moto.
.
.
By the way vipi ajira zinapatikana le mutuz tv? Hata ya kusave chai itanifaa. This is serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…