Nakuunga mkono,tanzania tunaendekeza ngono mno ndo maana hata maendeleo hakuna
Mijadala kama mtu hawezi kaa mbali bila kufanya mapenzi na mingine mingi inaonesha jinsi akili zetu zinaona hakuna maisha bila mapenzi
Utaonekana wa ajabu kusema mie nilienda masomoni mwaka na sikufanya mapenzi kwa kipindi hiki na zaidi utaonekana kituko mwanaume kusema sijawahi kuchepuka