Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kufanya mapenzi ni kupenda au ni nguvu ya asili kutokana na kuwa na viungo vya uzazi ambavyo vinahitaji kufanya kazi iiliyoviletaNakuunga mkono,tanzania tunaendekeza ngono mno ndo maana hata maendeleo hakuna
Mijadala kama mtu hawezi kaa mbali bila kufanya mapenzi na mingine mingi inaonesha jinsi akili zetu zinaona hakuna maisha bila mapenzi
Utaonekana wa ajabu kusema mie nilienda masomoni mwaka na sikufanya mapenzi kwa kipindi hiki na zaidi utaonekana kituko mwanaume kusema sijawahi kuchepuka
ni asili ndiyo ila sio basic needKwani kufanya mapenzi ni kupenda au ni nguvu ya asili kutokana na kuwa na viungo vya uzazi ambavyo vinahitaji kufanya kazi iiliyovileta
Huo ni mtazamo wakoAfanyaye uzinzi hana akili, Mtoto apatikanaye kwa uzinzi amelaaniwa.
Shida ni pale kupokea Kila kitu bila ya kuchuja. Hii yote ni sababu dini za kuletewa ambazo Kwa Sasa zinapingana na mambo mengi sana Kwa Hali halisi ya kidunia. Uzinzi ndiyo nini au ndoa ndiyo niniAfanyaye uzinzi hana akili, Mtoto apatikanaye kwa uzinzi amelaaniwa.