Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

Mkuu Acha kutoa sababu nyepes, kama mnavyosema Israel ni taifa teule mbona kule kuna ukame wa kutisha ?
 
Walokole mna mambo, kwahiyo mungu alileta ukimwi [emoji3]
Yeye watu wakizini anapungukiwa nini?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kuna uzi umeanzishwa huko wanasifia uzinzi, kuna visichana viwili vinasifia, mmoja wao mhaya, mwingine msukima
 
Nakuunga mkono,tanzania tunaendekeza ngono mno ndo maana hata maendeleo hakuna
Mijadala kama mtu hawezi kaa mbali bila kufanya mapenzi na mingine mingi inaonesha jinsi akili zetu zinaona hakuna maisha bila mapenzi
Utaonekana wa ajabu kusema mie nilienda masomoni mwaka na sikufanya mapenzi kwa kipindi hiki na zaidi utaonekana kituko mwanaume kusema sijawahi kuchepuka
 
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.

Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi, uzinzi haujapata tiba katika nchi yetu.

Mungu alileta ukimwi ili watu wapate hofu lakini binadamu wakabuni kondomu 'mchezo unaendelea.

Nasema Tena uzinzi ni tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu sijajua ninani atakuja kuleta SULUHISHO maana hata wahubiri nao wameshindwa kujinasua na hili pepo la uzinzi hali ni mbaya sana mungu atusaidie.

Nahisi Kuna mapigo makubwa Afrika na Dunia kwa ujumla itayapitia kwa sababu ya uzinzi mungu atusaidie afrika mungu aisaidie Tanzania.
Mbonaa humwongelei mlandizi
 
Kwamba Mungu alileta ukimwi? Alooo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.

Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi, uzinzi haujapata tiba katika nchi yetu.

Mungu alileta ukimwi ili watu wapate hofu lakini binadamu wakabuni kondomu 'mchezo unaendelea.

Nasema Tena uzinzi ni tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu sijajua ninani atakuja kuleta SULUHISHO maana hata wahubiri nao wameshindwa kujinasua na hili pepo la uzinzi hali ni mbaya sana mungu atusaidie.

Nahisi Kuna mapigo makubwa Afrika na Dunia kwa ujumla itayapitia kwa sababu ya uzinzi mungu atusaidie afrika mungu aisaidie Tanzania.
Wewe kweli akili yako ni ndog.o sana.

Nilitegemea useme ukataji wa miti kwa ajili ya kutengeneza mikaa ndio imesabbaisha mvua hazinyeshi.
 
Kama uzinzi ni kupiga miti bhasi uzinzi unakata miti.
 
Wapi Mungu alileta ukimwi 😂😂😂 kijana wacha watu wafanye yao kuhusu huu uharibifu ilishatabiriwa sasa ni wasaa wa kuyaona ungetaka ungezaliwa zamani ili usishuhudie haya ila napo yalikuwepo

Tusikate miti tutunze mazingira ili mvua zinyeshe na unachotaka kusema ni kuwa watu wasijambe wanasababisha hewa ukaaa wakati unajua ndio ulifanya upumuaji

Pili hapa JF sioni mutu ya peponi kwa dhambi mnazoandika na kuona nikama sifa shaaabash
 
Back
Top Bottom