Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Pamoja na yote, uzinzi unaweza kukuingiza kwenye dimbwi la umasikini usipokuwa makini. Wenzetu hawa wanajua kuomba tu, sasa jifanye wewe don mjini kila ukiambiwa "niazime 100k" unatoa tu huki ukijua kipato chako tia maji.

Ukipigika ndio utajua zile 10k, 50k na 100k zilikuwa na faida gani
Ukweli mtupu
 
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3] Mkuu me nimewahi kumfata dem Singida ambae sijawahi kumuona(na ndo ilikuwa mara ya kwanza kufika Singida) nikafika nikachukua lodge nikaandaa na msosi afu inatokea manzi mbovu mno afu ina mtoto mgongoni. Yule mtoto kama katumwa ukimgusa mama yake kinalia .nili mind kweli tulikuwa tepanga kukaa siku3 nikamwambia nimepata dharura kesho yake nikapita hivi. Apo nishaingia gharama si chini ya laki na nusu na simu ya mkononi kama zawadi.
Aisee wee una moyo.
 
Mikosi nuksi na mabalaa, sio kila bwana anakugharamikia kwa kheri, mwingine anakuja kuiba nyota yako.

Pia wengi kwa kupenda vya bure wameuawa, wamedhalilishwa, wamebakwa, wamepigwa picha za uchi na madhila mengi wamefanyiwa.

Mi nilipata mbaba mmoja ana mijipesa hake ya haja. Akawa ananihonga hadi milioni tano, kumbe ana lake jambo.

Kunitongoza hanitongozi ila anataka tukae wote hadi usiku mkubwa.

Siku moja akaniambia leo utalala kwangu, nikamwambia sawa. Basi tukaenda hadi kwake, kilichonipata sitaki kusimulia
Andaa uzi sister😂😂
 
Pamoja na yote, uzinzi unaweza kukuingiza kwenye dimbwi la umasikini usipokuwa makini. Wenzetu hawa wanajua kuomba tu, sasa jifanye wewe don mjini kila ukiambiwa "niazime 100k" unatoa tu huki ukijua kipato chako tia maji.

Ukipigika ndio utajua zile 10k, 50k na 100k zilikuwa na faida gani
Ukija cheki mwisho wa mwezi hizo hela ulizotuma kwa warembo kwa kweli u aweza anzisha biashara ya kuuza chupi za warembo
 
Kumbe ni wewe? Yule jamaa si ni shoga? Hukujua?
😂😂au alifika jamaa akamwambia amshikeshike na ampige vidole jamaa, kuna story malaya mmoja chuga alinisimuliaga alipata mteja walivyofika lodge kumbe mteja ni shoga likamwambia aliingize vidole na alishikeshike likampa na hela kibao, malaya wengi wanakumbana na mikasa sana
 
Hamna mtu mwenye akili timamu asie kua na poor family background, anae weza kuendekeza uzizi, wengi ni limbukeni, urban-rural acitement, ushamba wa pesa pombe mkumbo nk..........ila kwa ukweli uzizi hauwezi kuacha mtu salama ata siku moja
Nakumbuka happyness alivyoniambukiza ghonorea aisee yule demu 😂😂😂
 
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3] Mkuu me nimewahi kumfata dem Singida ambae sijawahi kumuona(na ndo ilikuwa mara ya kwanza kufika Singida) nikafika nikachukua lodge nikaandaa na msosi afu inatokea manzi mbovu mno afu ina mtoto mgongoni. Yule mtoto kama katumwa ukimgusa mama yake kinalia .nili mind kweli tulikuwa tepanga kukaa siku3 nikamwambia nimepata dharura kesho yake nikapita hivi. Apo nishaingia gharama si chini ya laki na nusu na simu ya mkononi kama zawadi.
Wee jamaa jemedari kichizi. Na demu kuwa mbovu ukamtunuku simu ya rununu
 
Back
Top Bottom