Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #201
Uzinzi hupelekea mateso kwa watoto wa nje ya ndoa. Neema tu ya Mungu ndio huwasaidia watoto hao.Sasa wale wanaozaa nje na kupata watoto ambao wengine wnakuwa hata mawaziri, inakuwaje hapo?
Coming soonAndaa uzi sister😂😂
Sema tu unataka ubuyuSimulia tu, ili wanawake wanzio wapate funzo
NDIO yaliyomkuta ndugu yetu Huyu😂😂au alifika jamaa akamwambia amshikeshike na ampige vidole jamaa, kuna story malaya mmoja chuga alinisimuliaga alipata mteja walivyofika lodge kumbe mteja ni shoga likamwambia aliingize vidole na alishikeshike likampa na hela kibao, malaya wengi wanakumbana na mikasa sana
Hahahaa acha kabisa kuna jamaa yangu alifanyiwa hii mambo. Kamkatia dem return ticket ya fastjet nafikiri zilimtoka laki3, kufika mwanza dem anaseme anableed jamaa alikaa naye hadi siku ya kurudi hakuambulia kitu. Ingekuwa mm vidonge vinakuhusuUnamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Jamaa ana moyo kweli na mbususuAisee wee una moyo.
Sema na wewe ni mzembe hukua na wasap akutumie picha au hata facebook[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3] Mkuu me nimewahi kumfata dem Singida ambae sijawahi kumuona(na ndo ilikuwa mara ya kwanza kufika Singida) nikafika nikachukua lodge nikaandaa na msosi afu inatokea manzi mbovu mno afu ina mtoto mgongoni. Yule mtoto kama katumwa ukimgusa mama yake kinalia .nili mind kweli tulikuwa tepanga kukaa siku3 nikamwambia nimepata dharura kesho yake nikapita hivi. Apo nishaingia gharama si chini ya laki na nusu na simu ya mkononi kama zawadi.
Kuna watu wanakufa na Kansa na hawajawahi kuziniNi kweli lkn na kufa kwa kuteseka na maradhi ni kubayaa mnooo
Ni wale madem local . Hawanaga smart na ukiwaambia watumie ya rafiki wanakupa vipengele kibao. By the way niliingia cha kike mzeeSema na wewe ni mzembe hukua na wasap akutumie picha au hata facebook
Unapokaa naye siku nyingi zaidi unazidi kujiumizaHahahaa acha kabisa kuna jamaa yangu alifanyiwa hii mambo. Kamkatia dem return ticket ya fastjet nafikiri zilimtoka laki3, kufika mwanza dem anaseme anableed jamaa alikaa naye hadi siku ya kurudi hakuambulia kitu. Ingekuwa mm vidonge vinakuhusu
Acha uwongo bana.....Uzinzi haujawahi kuwa na matokeo mazuri
Uzinzi ni mlango wa kuanguka.Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.