Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

😂😂au alifika jamaa akamwambia amshikeshike na ampige vidole jamaa, kuna story malaya mmoja chuga alinisimuliaga alipata mteja walivyofika lodge kumbe mteja ni shoga likamwambia aliingize vidole na alishikeshike likampa na hela kibao, malaya wengi wanakumbana na mikasa sana
NDIO yaliyomkuta ndugu yetu Huyu
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Hahahaa acha kabisa kuna jamaa yangu alifanyiwa hii mambo. Kamkatia dem return ticket ya fastjet nafikiri zilimtoka laki3, kufika mwanza dem anaseme anableed jamaa alikaa naye hadi siku ya kurudi hakuambulia kitu. Ingekuwa mm vidonge vinakuhusu
 
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3] Mkuu me nimewahi kumfata dem Singida ambae sijawahi kumuona(na ndo ilikuwa mara ya kwanza kufika Singida) nikafika nikachukua lodge nikaandaa na msosi afu inatokea manzi mbovu mno afu ina mtoto mgongoni. Yule mtoto kama katumwa ukimgusa mama yake kinalia .nili mind kweli tulikuwa tepanga kukaa siku3 nikamwambia nimepata dharura kesho yake nikapita hivi. Apo nishaingia gharama si chini ya laki na nusu na simu ya mkononi kama zawadi.
Sema na wewe ni mzembe hukua na wasap akutumie picha au hata facebook
 
Una import kvma kutoka Mwanza mpaka Dar ina maana Dar hakuna kvma?

Kut0mba ni economics,wewe ingiza moyo ndio yanatokea haya maujinga!

Kvtomba ni mechanical exercise moyo unamuacha mkeo home.....

Ukiona demu kama moyo wako unaanza kumpenda penda kimoyo sana wahi fasta delete namba na block kila mahali usimuone tena
 
Hahahaa acha kabisa kuna jamaa yangu alifanyiwa hii mambo. Kamkatia dem return ticket ya fastjet nafikiri zilimtoka laki3, kufika mwanza dem anaseme anableed jamaa alikaa naye hadi siku ya kurudi hakuambulia kitu. Ingekuwa mm vidonge vinakuhusu
Unapokaa naye siku nyingi zaidi unazidi kujiumiza
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Uzinzi ni mlango wa kuanguka.
 
Back
Top Bottom