Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Uzinzi + pombe=?????

Lakini hivi vitu vinanihamasisha kutafuta hela
Kinacho kuhamasisha kutafuta hela ni malengo yako uliyojiwekea.
Kasi ya kutafuta hela kwa mtu wa miaka 25 mwenye lengo la kuwa na billion moja kabla hajafika moaka 40 ni kubwa kuliko kasi ya mtu mwenye miaka 25 ambaye ana lengo la kujenga nyumba ya kuishi ya vyumba vitatu na sebule akiwa na miaka 40.

Kilichomo ndani yako ndicho kinachokupa msukumo wa kutafuta hela.

Wazinzi sio matajiri, na matajiri wakubwa hawana kabisa muda na ngono na pombe na bata.

Ukienda kiwanja gani ndio utamkuta Mo anakula bata?
 
😂😂😂😂Ety mwili nyoko🙌
 
Kabisaa ipo hivi mwanaume kuwa na mkeo na rafiki mmoja wa kumdiny* basi.

Ila kuwa na mademu wengi iseee ni garama sanaa, kuwa na mkeo.

Mfano mm huwa nina demu flan ananiitaa kaka hadi leo na tunatiana kama kawaidaa, ingawa demu wangu anajua ni wifi huyoo..
 
Akili za mwafrika,watu weupe,"Caucasians"huamini black people only cares about their dicks"wakipata mali,starehe ni ngono,akinunua gari zuri,Ili ajihisi amefika level nyingine,sio kwamba atachukua familia,au marafiki apige tour ya kibabe Dar Mtwara,Ruvuma kupitia Masasi,au Dar Bukoba mpaka Uganda,yeye ataenda kuosha kitaa,makelele Mengi Ili mademu wamuone,angoe mmoja,na atandike hata wake za wstu,anaona amepata ridhiko la moyo!!!!!
Hakuna gharama kwenye uzinzi,we have there,we have done that,we learnt the hard way!!!ni kupoteza muda,there is more to life than womanizing!!
 
Duu sikuwahi kuwaza hili kuwa demu kalazimisha kuja huku akiwa bleed maana yake anataka ailiwe jicho.aseeee
Kwani wewe unaonaje hapo? tumia akili yako ya kawaida tu, mtu anasafiri umbali mrefu kukufuata huku akijuwa wazi unahitaji nini kutoka kwake lakini anakuja halafu anakutega hivyo ina maana wewe hujiongezi?
 
Uko poa,I like you...
 
Well said mkuu
 
Kwani lazima uchukue hao wa kulipia tiketi za ndege? Humo Buza si wamejaa wa bei Chee kabisa
 
Sasa mbona tunapamgiana starehe.
Mtu kahustle kapata hela zake starehe yake yeye ni kichovya asali
 
Hizi sasa fix mkuu. Yaani niwe billionea alafu nifanye starehe beach kidimbwi au nitombee wanawake wa kawaida🤣🤣🤣🤣
Matajiri wanasafirisha malaya kwa private jet bwana. Hii kitu bwana ukiwa na hela haikwepeki. Pablo escobar used to fly in prostitutes from around the globe apige party na wana.
 
Akili inataka.
Moyo unataka.
Mwili unataka.
Mazingira yanashawishi.
Ndio matumizi ya pesa.
Kwasababu nafanya kazi...
Wakuu me nafanya ninachoona sahihi kitakachotokea ntajua mbele.
Usiikurubie al-zinaa ila al-kwa dharura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…