Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #241
Bora hakwendaAngeenda kwa mparange.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hakwendaAngeenda kwa mparange.
Ambayo inaisha ndani ya muda mfupi, huku ukiwa umefaidika hangover na janabaUzinzi + pombe=?????
Lakini hivi vitu vinanihamasisha kutafuta hela
Kinacho kuhamasisha kutafuta hela ni malengo yako uliyojiwekea.Uzinzi + pombe=?????
Lakini hivi vitu vinanihamasisha kutafuta hela
😂😂😂😂Ety mwili nyoko🙌Kwani weee unadhani kiasi gani cha fedha kinakutosha ili uzitosheleze tamaa zako za mwili?
Hela inaweza ikakufanya ice cream 🍦 ya Sno Cream ukaiona kama kimpumu, ukijisikia kula ice cream 🍦 ukakodi private jet na kwenda Paris kula ice cream 🍦 na kurudi na bado usitosheke. Mwili nyoko
Akili za mwafrika,watu weupe,"Caucasians"huamini black people only cares about their dicks"wakipata mali,starehe ni ngono,akinunua gari zuri,Ili ajihisi amefika level nyingine,sio kwamba atachukua familia,au marafiki apige tour ya kibabe Dar Mtwara,Ruvuma kupitia Masasi,au Dar Bukoba mpaka Uganda,yeye ataenda kuosha kitaa,makelele Mengi Ili mademu wamuone,angoe mmoja,na atandike hata wake za wstu,anaona amepata ridhiko la moyo!!!!!Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Kwani wewe unaonaje hapo? tumia akili yako ya kawaida tu, mtu anasafiri umbali mrefu kukufuata huku akijuwa wazi unahitaji nini kutoka kwake lakini anakuja halafu anakutega hivyo ina maana wewe hujiongezi?Duu sikuwahi kuwaza hili kuwa demu kalazimisha kuja huku akiwa bleed maana yake anataka ailiwe jicho.aseeee
Uko poa,I like you...Hakuna amani na furaha bwana. Waulize wamama watu wazima walioishi maisha ya kudanga enzi za usichana wao maana wapo watakwambia. Haulipi na hauna faida.
Kuna mmoja aliishi hayo maisha kweli kwa kipindi hicho alikuwa na the so said "amani na furaha" tena alikuwa na body kinanda. Rangi tamu. Akaolewa lakini kwa sababu ya kurukaruka akaachika. Akaendelea na uzinzi. Akaukwaa ukimwi. Umri ukasogea papuchi ikawa tafrani no taste.
Akaanza kuvuta shuka kumekucha. Yupo tu leo anahangaika kwa dada zake na anategemea watoto wa dada yake wamuuguze maana hali si hali. Yani anawategemea ndugu zake inshort. So furaha na amani ni ya kitambo tu. Kwani hata sigara si inampa mtu amani na furaha. Matokeo yake huwaga ni nini.
Hata goliath alikuwa na furaha na amani alivyokua anaonea watu. Hata mwizi akikaba anafuraha na amani..lakin zinapofika 40. Hakuna dhambi ambayo haileti furaha maana lazima dhambi ikupe fake satisfaction. Ila pale shetan anapoanza kutudai vya kwake haloooo....
Saidia kwa kiasi ambacho haudhuhuriki kiuchumi wala mipango yako haiyumbiWala sio unafiki...mzee jipende wewe kwanza hao wengine baadae. Binadamu wenyewe hawa hawana maana unawasaidia lakini likikufika jambo wewe wanaanza kusema ah yule boya sana.
Well said mkuuAkili za mwafrika,watu weupe,"Caucasians"huamini black people only cares about their dicks"wakipata mali,starehe ni ngono,akinunua gari zuri,Ili ajihisi amefika level nyingine,sio kwamba atachukua familia,au marafiki apige tour ya kibabe Dar Mtwara,Ruvuma kupitia Masasi,au Dar Bukoba mpaka Uganda,yeye ataenda kuosha kitaa,makelele Mengi Ili mademu wamuone,angoe mmoja,na atandike hata wake za wstu,anaona amepata ridhiko la moyo!!!!!
Hakuna gharama kwenye uzinzi,we have there,we have done that,we learnt the hard way!!!ni kupoteza muda,there is more to life than womanizing!!
😆😅🤣😂😂😂😂Ety mwili nyoko🙌
Kwani lazima uchukue hao wa kulipia tiketi za ndege? Humo Buza si wamejaa wa bei Chee kabisaUnamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Penadu achana nayo kabisa,eka mbali na watoto.Hawajakutana na penadur, acha wakutane nayo ndio akili ziwakae sawa
Acha nicheke bana.hongereni nyote msiopenda hicho mnachokisema, inaonekana mmejenga maghorofa saba saba huko mjini mbweni dsm.
Sasa mbona tunapamgiana starehe.Akili za mwafrika,watu weupe,"Caucasians"huamini black people only cares about their dicks"wakipata mali,starehe ni ngono,akinunua gari zuri,Ili ajihisi amefika level nyingine,sio kwamba atachukua familia,au marafiki apige tour ya kibabe Dar Mtwara,Ruvuma kupitia Masasi,au Dar Bukoba mpaka Uganda,yeye ataenda kuosha kitaa,makelele Mengi Ili mademu wamuone,angoe mmoja,na atandike hata wake za wstu,anaona amepata ridhiko la moyo!!!!!
Hakuna gharama kwenye uzinzi,we have there,we have done that,we learnt the hard way!!!ni kupoteza muda,there is more to life than womanizing!!
Hizi sasa fix mkuu. Yaani niwe billionea alafu nifanye starehe beach kidimbwi au nitombee wanawake wa kawaida🤣🤣🤣🤣Kinacho kuhamasisha kutafuta hela ni malengo yako uliyojiwekea.
Kasi ya kutafuta hela kwa mtu wa miaka 25 mwenye lengo la kuwa na billion moja kabla hajafika moaka 40 ni kubwa kuliko kasi ya mtu mwenye miaka 25 ambaye ana lengo la kujenga nyumba ya kuishi ya vyumba vitatu na sebule akiwa na miaka 40.
Kilichomo ndani yako ndicho kinachokupa msukumo wa kutafuta hela.
Wazinzi sio matajiri, na matajiri wakubwa hawana kabisa muda na ngono na pombe na bata.
Ukienda kiwanja gani ndio utamkuta Mo anakula bata?
Uzinzi sio kwa ajili ya risk takers. Uzinzi ni kwa wale ambao hawana akili...Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Haya sasa ndio maneno ya hekimaUzinzi sio kwa ajili ya risk takers. Uzinzi ni kwa wale ambao hawana akili...
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." - Mithali 6:32
SwadaktaUzinzi sio kwa ajili ya risk takers. Uzinzi ni kwa wale ambao hawana akili...
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." - Mithali 6:32
Usiikurubie al-zinaa ila al-kwa dharura.Akili inataka.
Moyo unataka.
Mwili unataka.
Mazingira yanashawishi.
Ndio matumizi ya pesa.
Kwasababu nafanya kazi...
Wakuu me nafanya ninachoona sahihi kitakachotokea ntajua mbele.