Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Aise kumbe ni bonge la lecture hili.
Ila jameni uzinzi raha. Yaani wanawake watamu asikwambie mtu. Ile burudani wakati wa kugegedana acheni tuu. Wacha tuburudike na le mbususu hayo madhara yake tutajuaga huko huko mbele ya safari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732] kmmk
 
Mimi nimeishi sana maisha ya kuwa decent ni kweli nakubali uzinzi una risk kubwa Sana Hilo sipingi

Lakini ktk hii era tuliyo nayo niseme tu ukweli kuwa decent ni kujitafutia matatizo maana utatendwa mpaka ukome na hautokuwa na option

Mtu ukipata nafasi ya kufanya uzinzi fanya tu tena +ombana sana but make sure inakuwa kimya kimya usifanye show off kwaajili ya kulinda heshima Yako in public katk hii Dunia hakuna ambaye Hana madhaifu wewe Tiana tu Kwa Raha zako ila usiwe yule Malaya wa wazi wazi na ilikuepuka bankrupt make sure hutumii nguvu kubwa ya Pesa zako ktk uzinzi ukiwa na hela tafuta mpenzi mwenye hela pia kuepuka usumbufu wa kijinga jinga
 
Na imeonekana kama ni fahari hivi, tunajisifu kwa kugharamia uzinzi kwa laki,laki 2 lak 3...lakini watu wetu wa karibu wana changamoto lukuki ambazo zingeweza suluhishwa na hizo pesa(wazazi,kaka,dada,wagonjwa kwenye familia,watoto,mke)...na mbaya zaidi wengine ni watu waliotupigania sana kufika hapa tulipo na tunaona tumefanya maamuzi sahihi kabisa...tunaishi maisha ya unafiki sana.
Watu wamesha wasaidia sana hao watu uliowataja ktk hayo makundi lakini wakapokea disappoinment maisha haya we yaache tu kama yalivyo aisee
 
Mimi nimeishi sana maisha ya kuwa decent ni kweli nakubali uzinzi una risk kubwa Sana Hilo sipingi

Lakini ktk hii era tuliyo nayo niseme tu ukweli kuwa decent ni kujitafutia matatizo maana utatendwa mpaka ukome na hautokuwa na option

Mtu ukipata nafasi ya kufanya uzinzi fanya tu tena +ombana sana but make sure inakuwa kimya kimya usifanye show off kwaajili ya kulinda heshima Yako in public katk hii Dunia hakuna ambaye Hana madhaifu wewe Tiana tu Kwa Raha zako ila usiwe yule Malaya wa wazi wazi na ilikuepuka bankrupt make sure hutumii nguvu kubwa ya Pesa zako ktk uzinzi ukiwa na hela tafuta mpenzi mwenye hela pia kuepuka usumbufu wa kijinga jinga
Tafuta mpenzi mwenyewe hela yake🤣😘🤣🤣 bro hawa wanawake ata wawe na biliion wao wanataka kula zako tuu. Wee cha msingi hakikisha unapata mbususu yako on regular basis basi.

Beesmom anunua bia ya buku tano tuu wiki nzima roho inauma🤣🤣🤣🤣 hao ndio wanawake
 
😳kwahiyo tusiokuwa Nazo tuliwe na kina nani
 
Kwa kweli kukaa bila ku+oππbana kama mnavyo shauri ni kuukosoa uumbaji na hzi nyege mnataka watu wawe wanafanya Nini Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Waacheni watu wakulane tu ndio maana tukapewa via vya uzazi na nyege hayo mengine ni ajali tu kama zilivyo ajali nyingine Cha msingi ni kuwa smart usifanye mambo Yako hadharani peupe pee
 
Kuna jamaa iliwah mtokea hyo ila alikula mzigo hvyo hvyo kwa siku mbili
Kwanza wanawake wengi now days wanafanya hayo mambo tena usipomla akiwa ktk tarehe zake ana kushangaa Dunia imebadilika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta mpenzi mwenyewe hela yake🤣😘🤣🤣 bro hawa wanawake ata wawe na biliion wao wanataka kula zako tuu. Wee cha msingi hakikisha unapata mbususu yako on regular basis basi.

Beesmom anunua bia ya buku tano tuu wiki nzima roho inauma🤣🤣🤣🤣 hao ndio wanawake
🤣Kumbe hujanisahau mpaka Leo lile andiko langu.Aisee,kiukweli niliweweseka sana🙌
 
Nakubaliana na hoja yako lakini uzinzi haukwepeki kwa namna yoyote ile sema tutapunguza tu,

Hayo mambo yapo kiroho zaidi, ikiwa adam ambae hakua anajua lolote alizini mimi ni nani niweze kukwepa ilihali najua kila aina ya ladha za uzinzi wenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣Kumbe hujanisahau mpaka Leo lile andiko langu.Aisee,kiukweli niliweweseka sana🙌
Sasa kwa nini uweweseke wakati jamaa yeye anakuhudumiaga.
Nyie ndio mzinguaga mnafanya wanaume wasione umuhimu wa kuoa....bora kuzalisha masingle maza tuu
 
mzabzab na jiwe angavu naona mmesimama kidete kwel kwel kutetea walio wengi ambao humu wanapita kimya kimya ila wanawaunga mkono kwa dhat ya mioyo yao ila kwa unafik hawatak kujitokeza.Ngono inapendwa na weengi jamani tuseme tu ukwel mwanamke mmoja kwa mwanaume asiye na shida kiafya wala hamtoshelezi..Siungi mkono zinaa ila huo ndio ukweli.. cha msingi omba Mungu akuepushe na magonjwa na mabalaa ya zinaa ila wengi tunafanya kwakua ndio bas tu ni nature..

Beesmom leo naona umekaa kwa kutulia humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] katulia hataki kuonekana mzinzi [emoji1787]
 
Back
Top Bottom