Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Akili inataka.
Moyo unataka.
Mwili unataka.
Mazingira yanashawishi.
Ndio matumizi ya pesa.
Kwasababu nafanya kazi...
Wakuu me nafanya ninachoona sahihi kitakachotokea ntajua mbele.
Naam Naam [emoji457][emoji1787]
 
Mie najifunza kwako ujue[emoji28][emoji28]
Nakuaje mlezi?
Watu ni wanafiki ndugu yangu, sex is for everyone wanajidai tu hapa.
Yaani nipewe mdomo halafu unipangie nini nile na nini nisile, doesn't make sense
Watu wakulane tu Kwa kweli Sasa spare parts walizopewa ni za kazi gani ,!!? Lmfao [emoji1787]
 
[emoji15]kwahiyo tusiokuwa Nazo tuliwe na kina nani
Tumieni hicho kifaa hapo chini.
JamiiForums-1036541612.jpg
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Ila huwa si yapo matundu mawili?
Halafu kuna uzi humu walisema hakuna madhara ukila na bleed
 
Yaani mimi hata silewi. Why tusizitendee haki nyege zetu tunazibana bana tu. Mungu hakuwa mjinga kutuumba hivi
Kabisa nashanga watu wawili mnaminyege lakini mnaanza leta story oh do u love me ndio moeane raha...wee kama mbususu inapwita pata de libolo uenjoy
 
🤣🤣🤣🤣Niache bhana🤸
Kuna kautulivu flan hiv unaka manifest ndan ya hik kipindi kifup kama sio wewe yan.Au toka ubatizwe jina jipya umekua kiumbe kipya yakale yamepita?? 😁
 
Back
Top Bottom