Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Yaani mimi hata silewi. Why tusizitendee haki nyege zetu tunazibana bana tu. Mungu hakuwa mjinga kutuumba hivi
Ina shangaza sana huo ndio itakuwa mwanzo wa kubaka huo .. as long as una jisikia nyege wewe tafuta mwenzako kulana nae vizuri tu kupunguza ashki mwilini maana ashki sio nzuri wao walisha toka ktk huu unafki na sex kwao ni basic needs kabisaa
 
Kwa kweli kukaa bila ku+oππbana kama mnavyo shauri ni kuukosoa uumbaji na hzi nyege mnataka watu wawe wanafanya Nini Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Waacheni watu wakulane tu ndio maana tukapewa via vya uzazi na nyege hayo mengine ni ajali tu kama zilivyo ajali nyingine Cha msingi ni kuwa smart usifanye mambo Yako hadharani peupe pee
Lakini mzee watu wanapigana miti sana asee, yani hakuna kujali siku hizi wala kutongozana kivile, mkielewana tu ile kishkaji ni kuwekana tu. Sisi tuliooa bora tutulizane tu kwa kweli, nyie endeleeni tu.
 
Watu wamesha wasaidia sana hao watu uliowataja ktk hayo makundi lakini wakapokea disappoinment maisha haya we yaache tu kama yalivyo aise
Mkuu,kama tungekua tunasaidiana ili tusipate disappointment sidhani kama kuna watu wangesaidiana.
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Gilesii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nimeishi sana maisha ya kuwa decent ni kweli nakubali uzinzi una risk kubwa Sana Hilo sipingi

Lakini ktk hii era tuliyo nayo niseme tu ukweli kuwa decent ni kujitafutia matatizo maana utatendwa mpaka ukome na hautokuwa na option

Mtu ukipata nafasi ya kufanya uzinzi fanya tu tena +ombana sana but make sure inakuwa kimya kimya usifanye show off kwaajili ya kulinda heshima Yako in public katk hii Dunia hakuna ambaye Hana madhaifu wewe Tiana tu Kwa Raha zako ila usiwe yule Malaya wa wazi wazi na ilikuepuka bankrupt make sure hutumii nguvu kubwa ya Pesa zako ktk uzinzi ukiwa na hela tafuta mpenzi mwenye hela pia kuepuka usumbufu wa kijinga jinga
Role model tukutane Twitter 🤣🤣

Good boy gone bad
 
Gilesii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20220901-WA0008.jpg
 
Akili za mwafrika,watu weupe,"Caucasians"huamini black people only cares about their dicks"wakipata mali,starehe ni ngono,akinunua gari zuri,Ili ajihisi amefika level nyingine,sio kwamba atachukua familia,au marafiki apige tour ya kibabe Dar Mtwara,Ruvuma kupitia Masasi,au Dar Bukoba mpaka Uganda,yeye ataenda kuosha kitaa,makelele Mengi Ili mademu wamuone,angoe mmoja,na atandike hata wake za wstu,anaona amepata ridhiko la moyo!!!!!
Hakuna gharama kwenye uzinzi,we have there,we have done that,we learnt the hard way!!!ni kupoteza muda,there is more to life than womanizing!!
Yaani kuwaza ngono tu muda wote. Kuna starehe nyingi tu ambazo unaweza kufanya na ku enjoy maisha.
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Katika maisha yangu, nilishawahi kugandwa na mchepuko (tena niliozaa naye mtoto), nikaona anataka kuharibu ndoa, hadi ilifika kipindi mimi na yeye tukawa tunashirikiana kumtafutia mwanaume, namkumbusha kila wakati amefikia wapi kupata mwanaume walau mzuri atakayemuoa manake niliona usumbufu umezidi. walau apate tu mwanaume amuoe nipumue.
 
Back
Top Bottom