Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Ilikuwaje tujifunze,figo ilinusurika kutolewa ama nini?
 
🤣🤣🤣🤣 Cha ajabu kwa nini hamkataagi hela ya mwanaume ambaye hamumpendi
 
Mbaya zaidi unapoenda kufanya uzinzi kwa gharama kubwa huku nyumbani kwako ukiwa hujaacha hata senti moja
Unakuwa unajichumia laana za bure kabisa. Mfano mwanaume uko busy unahangaika kuhonga michepuko, afu nyumbani mkeo anasema leo mume wangu kakosa acha tuvumilie.

Watoto wanakula ugali mchicha hata kama hawapendi. Mke anawalaza watoto afu anaenda kupiga magoti akiomba Mungu mume afanikiwe. Tena anakua hata hajui kuna mwenzie analishwa kuku huku nje.

Yule mke anasali kwa uchungu juu ya uchumi wa familia, mwanaume anahonga tu...aaahh weee usiombe hicho kibano chake, michongo itafeli, figo zitafeli, utatulizana.

Na michepuko ya siku izi imelamba ndimu hatari. Kupiga simu kwa mke kujinadi haioni shida, tena wanakwambia "unajisifia mipete hiyo mwenzako napelekwa zanzibar...nina amani na furaha we una nini...hujui kumhandle mume acha tukusaidie na akizeeka tunakurudishia" mke unalia chinchin afu unarudi kumuomba Mungu amrejeshe Mume wako...jamani brother...hiyo laana usiombe.
 
Anzishia uzi basi hii story yako
 
Mimi siyo mzinzi na wala siungi mkono uzinzi ila ikitokea hivi INA maana huyo bidada kaja Kwa option ya kukupa ile bikra ya Pili kama ipo.

By the way mwanamke anayejuwa kuitumia vizuri nafasi take anaweza kumridhisha mwanaume bila kuliwa papuchi, hawa viumbe wana mambo mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…