Wanataka wafe na mapafu..figo ini zima waka waringishie wafu wenzao makaburini huko.
Utelezi muhimu kwa mwanadamu..kufa kupo tu..kunanjamaa yangu alikua anaogopa sana kugonga mademu akiogopa magonjwa ya zinaa..one day tuko rumu anakawa anajipima ngoma..akawa yuko poa tu..daah haikumaliza mwezi jamaa akapata ajali akafa.
Ndio nasema unaweza usife kwa uzinzi ukafa kwa kipindupindu..no body knows tomorrow..kuna mtu napima ngoma na demu nasahau kuna homa ya ini hiyo ni balaa zaidi ya ukimwi.
Chamsingi ni kuplay safe tumia ndomu choma chanjo ya homa ya ini..kama unataka kwenda dry pimeni mjilie vyenu.
Ila kuacha kutomber haiwezekani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app