Mikosi nuksi na mabalaa, sio kila bwana anakugharamikia kwa kheri, mwingine anakuja kuiba nyota yako.
Pia wengi kwa kupenda vya bure wameuawa, wamedhalilishwa, wamebakwa, wamepigwa picha za uchi na madhila mengi wamefanyiwa.
Mi nilipata mbaba mmoja ana mijipesa hake ya haja. Akawa ananihonga hadi milioni tano, kumbe ana lake jambo.
Kunitongoza hanitongozi ila anataka tukae wote hadi usiku mkubwa.
Siku moja akaniambia leo utalala kwangu, nikamwambia sawa. Basi tukaenda hadi kwake, kilichonipata sitaki kusimulia