Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

mzabzab na jiwe angavu naona mmesimama kidete kwel kwel kutetea walio wengi ambao humu wanapita kimya kimya ila wanawaunga mkono kwa dhat ya mioyo yao ila kwa unafik hawatak kujitokeza.Ngono inapendwa na weengi jamani tuseme tu ukwel mwanamke mmoja kwa mwanaume asiye na shida kiafya wala hamtoshelezi..Siungi mkono zinaa ila huo ndio ukweli.. cha msingi omba Mungu akuepushe na magonjwa na mabalaa ya zinaa ila wengi tunafanya kwakua ndio bas tu ni nature..

Beesmom leo naona umekaa kwa kutulia humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Take precautions tu..ila eti kusema watu wasisukume nyama kisa gharama huko ni kujidanganya..

Mimi siwezi mkataza mtu kusukuma nyama ila huwa na mwambia achukue tahadhari tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Ulituweza sana bujibuji na ile ID yako ya giLEsi. Sitokaa niisahau katika maisha yangu ya JF.
 
Umetaja hasara upande wa mwanaume, vipi kwa wake za watu, wao huingia hasara zipi za kifedha? 😊

Maana miaka hii ngoma droo, mume anapita kipande hii na mke kipande ile...
Usitugombanishe!! Wanawake hatuchepuki.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Hutaki support 🤣🤣🤣🤣
Mie mbona najua hapa jf nina support yenu wadau...sema ndio hivyo nyie support yenu ni ya kwenye marimba ya mzungu na sio kwenye real life🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kusema ukweli huu mchezo ni pendwa saana na ukija tathimini hapa wengi wameshakua wakishiriki mapenzi na watu zaidi ya 3+ nina hakika na hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom