atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
HelloHello
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HelloHello
Wacha kushabikia uzinzi wee mwanamke 🤣🤣🤣🤣🤣Mbinguni tunapewa mwili mpya au sio🤣🤣🤣🤣
Take precautions tu..ila eti kusema watu wasisukume nyama kisa gharama huko ni kujidanganya..mzabzab na jiwe angavu naona mmesimama kidete kwel kwel kutetea walio wengi ambao humu wanapita kimya kimya ila wanawaunga mkono kwa dhat ya mioyo yao ila kwa unafik hawatak kujitokeza.Ngono inapendwa na weengi jamani tuseme tu ukwel mwanamke mmoja kwa mwanaume asiye na shida kiafya wala hamtoshelezi..Siungi mkono zinaa ila huo ndio ukweli.. cha msingi omba Mungu akuepushe na magonjwa na mabalaa ya zinaa ila wengi tunafanya kwakua ndio bas tu ni nature..
Beesmom leo naona umekaa kwa kutulia humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
SOma kwanza private message kwanza rafiki
Ulituweza sana bujibuji na ile ID yako ya giLEsi. Sitokaa niisahau katika maisha yangu ya JF.Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Usitugombanishe!! Wanawake hatuchepuki.Umetaja hasara upande wa mwanaume, vipi kwa wake za watu, wao huingia hasara zipi za kifedha? 😊
Maana miaka hii ngoma droo, mume anapita kipande hii na mke kipande ile...
🤣🤣🤣🤣🤣Hutaki support 🤣🤣🤣🤣Wacha kushabikia uzinzi wee mwanamke 🤣🤣🤣🤣🤣
Huko mbinguni mie sitafika nitaishia kaburini tuu.
Mie mbona najua hapa jf nina support yenu wadau...sema ndio hivyo nyie support yenu ni ya kwenye marimba ya mzungu na sio kwenye real life🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hutaki support 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣Mie mbona najua hapa jf nina support yenu wadau...sema ndio hivyo nyie support yenu ni ya kwenye marimba ya mzungu na sio kwenye real life🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba nije pm kwako mom of bees.... Mama mtamuSOma kwanza private message kwanza rafiki
Ndio shida ilipo
Giles alikua akitembea matako yanatikisika kwa nguvu 😄😄Ulituweza sana bujibuji na ile ID yako ya giLEsi. Sitokaa niisahau katika maisha yangu ya JF.
Kafanyaje?Ryan giggs
Yupo kikaangoni court kesi ya domestic abuse. Kisa michepuko on steroids.Kafanyaje?