Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Uzito uko wapi kwa Urusi kuipatia silaha nzito Yemen ikaipiga Marekani?

Nyie wacheni kujidanganya hata bibilia zenu zimemtaja Muhammad sababu Paulo alikuwa anakosea kosea sometimes 😄

One of the preserved lines of Jesus' gospel, they say is in Mark 1:7, where Jesus supposedly prophesied of Muhammad, "There cometh after Me he that is mightier than I." Jesus said to her, "Woman, believe Me, the hour is coming when you will neither on this mountain, nor in Jerusalem, worship the Father."

From among the Ishmaelites​

Abraham had two sons, Ishmael and Isaac (Genesis, chapter 21). Ishmael became the grandfather of the Arab nation, and Isaac became the grandfather of the Jewish nation. The prophet spoken of was to come not from among the Jews themselves, but from among their brothers, the Ishmaelites. Muhammad (peace be upon him), a descendant of Ishmael, is indeed that prophet

Hizi point inathibitisha Mtume wa mwisho ni Mtume Muhammad sababu hatokani na kizazi cha Ishaq
Ngoma hii hapa chini 👇

Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa.

Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka.

Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa mafungu na kupitishwa kwenye mabaraza ya mabunge ya nchi hiyo.

Miongoni mwa silaha nzito zilizotolewa kwa Ukraine ambazo hata watoto wadogo wamezisikia ni pamoja na Himars, vifaru vya kisasa vya Abrams na Bradley.

Karibuni kabisa Ukraine imepatiwa silaha nzito zaidi za ndege za kivita matoleo ya kisasa.

Urusi imekuwa na fursa za uzoefu wa kivita na ukubwa wa jeshi na silaha za kisasa pengine kuliko za Marekani.

Hata hivyo imekuwa ikipata hasara kubwa za kivita ikiwa ni pamoja na kuzamishwa kwa meli zake za kivita na kuripuliwa vituo muhimu vya kijeshi pamoja na kuuliwa kwa idadi kubwa ya askari wake kutokana na silaha hizo za Marekani pamoja na washirika wake wa NATO.

Kuanza kwa vita vya Israel na Palestina kumeisogeza sana Marekani katika vita hivyo kutokana na ushirika wake na Israel.Kwa bahati mbaya wapalestina wamekosa watu wa kuwaunga mkono kati ya wale wenye nguvu za kijeshi na ambao ni ndugu na majirani zao.

Ni watu wawili pekee ambao wamejitokeza na kujitangaza kuwaunga mkono Hamas wanaoongoza mapambano upande wa Palestina.

Watu hao ni wanamgambo wa Hizbullah na wale wa Houth wa Yemen.

Wakati Hizbullah ina silaha nzito kuliko za Houth lakini imekuwa ikipigana huku ikihofia kulaumiwa na serikalli yao ya Lebanon ambayo ina uhusiano mzuri nayo na kila mmoja akijizuia kumuudhi mwenzake.

Ukiacha Hizbullah,wanamgambo wa Houth wana ari zaidi ya kupigana na Israel na kila anayeisaidia kuuwa wanaowaita ni ndugu zao.

Inaonekana hasira na nia za Houth wangekuwa na silaha kama zile za Hizbullah tu basi mashariki ya kati pasingekuwa pahala salama tena kwa Marekani na Israel.

Katika hali hiyo ingetarajiwa sana kuwa Urusi ingeona ni fursa nzuri kuitia adabu Marekani ambayo imeisababishia hasara kubwa sana ikiwemo vifo vya maelfu ya askari wake.

Wangeipenyezea Yemen chini ya Houth makombora yenye uwezo wa kupiga meli na kuizamisha sio vile vikombora ambavyo hupiga na kusababisha moto tu ambao ukiwahi kuzimwa meli inaendelea na safari yake.

Urusi ingeipatia Yemen yale makombora yake yanayosafiri angani na kupiga chenga makombora yanayoyafukuza na hatimae kutua yalipokusudiwa.

Wangeipenyezea ndege angalau moja ya Sukhoi 24 au chini yake ambazo zina uwezo wa kuruka mpaka ndani Israel na kupiga na kurudi.

Iwapo yote hayo yataitangaza Urusi rasmi kuwa imeingia vitani na wachokozi hao, basi angalau ingetuma vikosi vya Wagner pamoja na droni z kisasa zaidi ili ziweze kupiga maeneo ya kusini ya Israel kama vile zinavyopiga bandari za ukraine zinazosafirisha ngano za nchi hiyo.

Yote hayo ingekuwa ni kulipiza kisasi kwa Marekani iliyoisababishia hasara kupitia Ukraine.

Kinyume chake Marekani imejileta karibu kwenye vita na Yemen imewachwa bila kupewa msaada wa maana kuendeleza au kumaliza vita hivyo.Sababu ni ipi hasa?
Inatakiwa vita vipiganwe America baina ya Venezuela na Guyana ili US akiingilia akutane na Mrusi Venezuela
 
Waislam mnaota mchana
[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20231227_225021.jpg
 
Nyie wacheni kujidanganya hata bibilia zenu zimemtaja Muhammad sababu Paulo alikuwa anakosea kosea sometimes 😄

One of the preserved lines of Jesus' gospel, they say is in Mark 1:7, where Jesus supposedly prophesied of Muhammad, "There cometh after Me he that is mightier than I." Jesus said to her, "Woman, believe Me, the hour is coming when you will neither on this mountain, nor in Jerusalem, worship the Father."

From among the Ishmaelites​

Abraham had two sons, Ishmael and Isaac (Genesis, chapter 21). Ishmael became the grandfather of the Arab nation, and Isaac became the grandfather of the Jewish nation. The prophet spoken of was to come not from among the Jews themselves, but from among their brothers, the Ishmaelites. Muhammad (peace be upon him), a descendant of Ishmael, is indeed that prophet

Hizi point inathibitisha Mtume wa mwisho ni Mtume Muhammad sababu hatokani na kizazi cha Ishaq
Muhammad sio mtume mjomba msipende kulinganisha Bible na vitu vya hovyo
 
Ngoma hii hapa chini 👇

😄 Mnakwepa huku na huku ngoma ni hi hapa wala sio Yesu.

In Deuteronomy 18:17-19, Moses(as) prophesied:

“And the Lord said unto me. They have well spoken that which they have spoken, I will raise them up a prophet from among their brethren like unto thee, and will put my words in his mouth; and he shall speak unto them all that I shall command him. And it shall come to pass, that whosoever will not hearken unto my words which he shall speak in my name, I will require it of him.”
The foretold prophet in this prophecy was not Jesus Christ(as), nor any other Israelite prophet, because none of them ever claimed to be the prophet promised here. We read in the Gospel of John (1:19-21) that in the time of Jesus, the Jews were expecting the advent of three prophets. Firstly Elias, secondly Christ(as), thirdly a prophet of such universal fame that in his case no other specification was thought necessary. “The Prophet” was enough to convey what was meant. Jesus(as) claimed to be the Christ and he regarded John the Baptist as Elias (Matthew 11:14, 17:10-13). Further, he prophesied about his second advent in the last days when true faith would disappear from the earth (Luke 18:8).

Haggai 2:7
I will shake all nations, and the Ahmed of all nations will come, and I will fill this house with glory,’ says the LORD Almighty.

This prophecy in Haggai not just says that Prophet Muhammad is to come but also confirms that Prophet Muhammad has been prophesied in various scriptures as he will be the desire of all nations.

Translators have used incorrect words to translate the word Muhammad.

Ben Yehuda’s Hebrew-English Dictionary defines Muhammad as praised one.

This is the correct word to use but it is better that the translations use the original word “Muhammad”.
 
Sio kweli acha kudanganya watu bwana, Mohammed hakwenda posa huyo Aisha akiwa na miaka 18, ni uongo kabisa na ukweli uko hapa chini 👇

View: https://medium.com/@mohammedrazaesmail/did-prophet-muhammad-marry-a-6-year-old-girl-e38702d3f51d

😄 wewe ulikuwepo wakati Mtume Muhammad anamuowa bi Aisha? Walijua vipi umri wake ni miaka 6 hizo ni fake story we fatilia vizuri utakuta sehemu wanasema 6, 9 na 19 sa nani yuko sawa katika hao?

Acheni ujinga Aisha hakuolewa kinguvu yeye alikubali na wazazi wake walikubali, na alishi vizuri na Mtume Muhammad bila matatizo ya aina yoyote yale.

Mtume Muhammad aliowa kwa kuamrishwa na Mungu amuowe nani si kama mnavyo fikiria nyie.

Kwanini hamuwataji wanawake alio wao wakubwa kiumri 😄 Wengine walikuwa wamefiwa na wanaume zao hamjioni kama nyie mnamatatizo ya kiakili kumzulia Mtume wa Mungu uwongo,na dalili hamna ya kuthibitisha hizo hadithi zenu ni kweli 💯
 
Muhammad sio mtume punguza hasira. Wala Allah sio Mungu. Muhammad alikuwa Mario kaolewa na mmama mtu mzima. Na huyo mama ndie aliyempa Muhammad I utume. Na mtume baada ya kupewa Quran alichizika kwanza.
Eti aliye mpa utume 😄 nyie kweli vichaa.

Bibilia zenu zinawambia Mussa alisema Mtume atakaye kuja atakuwa kama yeye.

Yesu hakuwa kama Mussa.

Yesu hakuowa wala hana watoto, afu Yesu nyie mnasema ni Mungu, vipi mara tena kawa Mtume haha 😄 kwa hio tuambieni Yesu ni Mtume au Mungu?

Kama ni Mungu, basi hapo Mussa hakumtaja Yesu, ilikuwa kamtaja Mwingine.

Ukristo ni uharo mtupu mara mtoto wa Mungu, mara Mtume mara Mungu kaja kwa umbo la kibinadamu 😄

Deuteronomy 34:10 Yuko wapi Mtume wa Kiyahudi kama Mussa, nionyeshe kama mnaweza. Sababu hawezi kuja Mtume kama Mussa kutokea kwenya uko wa Ishaq mtabaki mnamsubiri sana 😄 Nyie kubalini tu Mussa alimkusudia Mtume Muhammad ambaye ni katika ma cousin zao.

Mtume anaye muongelea Mussa si wakutokea kwa Mayahudi, ni nani kama si Mtume Muhammad?

Yesu hakuwa Myahudi?
 
Somo walilotoa hamas mpaka dunia inashangaa
Lakini ujue kifuatacho....ni Kila nchi itatoa kipigo kikali zaidi kwa vikundi hivi vya kigaidi kwa kwa siku za usoni. Maana Israel kafanya na jumuiya ya kimataifa umemwangalia na kumuacha aendelee kufanya atakavyo. Niko hapa.... Utasikia China nae kalianzisha kwa wale waislamu wake
 
Wewe uislam ungekubali watu watembee uchi, pombe na zina iwe inaruhusiwa we ungekuwa Muislam [emoji817]
Nakwambia uislamu hata ungeyataka nakuyakubali wanayoyataka wao basi wangesema uislam unawalazimisha kila kitu
Washaamua kuuchukia uislam huna lakuwaambia
Uislamu unaeka masharti uloeka kwa maslahi mapana kabisa ya wanaadamu wenyewe ila hatujitambui ama twafanya kusudi ama twapitikiwa
 
Mkuu kabla ya kumuwazia Urusi kufanya hayo yote kwanini usimuwazie Saudia, UAE, Qatar, Kuwait, Misri nk.

Hiyo misaada anayopaswa kuitoa Urusi si hata hawa wanaweza kutoa tena kwa kiasi kikubwa zaidi maana chumi zao ni kubwa sana na bajeti zao za kijeshi ni kubwa maradufu? Yaani kwanini Urusi ambae mahusiano yake na Palestina ni kwamba wote tu ni binadam na wameumbwa na mungu zaidi ya hapo hamna kingine kinachowaunganisha aguswe na shida za Palestina kuliko waarabu wenzie na majirani zake?

Hivi leo nchi zote nilizozitaja wakiacha unafiki wakasema imetosha tunataka taifa huru la Palestina halitapatikana? Wote tumeona kwa Ukraine kwamba US na West wana nguvu kiuchumi na kijeshi lakini kuna level za migogoro ikifika hawawezi kwenda nazo kama wanavo tushawishi majukwaani na vikao wanavyokutana kila mara.

Tumeona kabisa mwaka mmoja tu wa vita Ukraine umekausha akiba ya siraha kwenye maghala yao, leo umezuka mgogoro mdogo tu Middle East tayari hata bajeti za kugharamikia vita hizi mbili inaanza kukosekana. Sasa jiulize kama wakati huu vita inaendelea na middle east yote wangeamka wakatoa full support kwa Hamas, Hizbullah na Houth, US angeweza kuhandle huu mgogoro wa scale hii kama kwa Ukraine tu na Hamas siraha zimemuishia na bajeti inapigwa pin kwenye senate?

Lazima angemkomalia Israel afanye mazungumzo ya amani na Palestina angepata taifa lake. Wengi humu tunaumizwa na anayofanyiwa Palestina kwa kuwa ni ndugu zetu katika imani lakini kuna watu pale middle east ni ndugu zao wa damu, imani tena wasunni wenzao ila hawaumizwi na anachokifanya Israel.

Sisi tutaumia tu ila kiukweli hatuna cha kufanya kuliko kina Saudia, Misri, Jordan, Lebanon, Qatar nk wanachoweza kufanya, kikubwa waache unafiki na kulamba miguu ya Marekani. Walianzishe tu Marekani ana mikwara mingi sana na bit ila mkimpa migogoro mingi na ikawa ya mbio ndefu anapwaya.

Hamna mtu yuko tayari kununua lita moja ya diesel kwa 30k kisa tu kumtetea Israel.
Naunga mkono hoja
 
Lakini ujue kifuatacho....ni Kila nchi itatoa kipigo kikali zaidi kwa vikundi hivi vya kigaidi kwa kwa siku za usoni. Maana Israel kafanya na jumuiya ya kimataifa umemwangalia na kumuacha aendelee kufanya atakavyo. Niko hapa.... Utasikia China nae kalianzisha kwa wale waislamu wake
Nikwamba hata akiachwa ama alivyo achwa hana madhara
Suala la kuondoka ghaza nisuala la kuda muda tuu
Huko china kutesa waislam hakuanza leo na wala hataanza kesho ila uislam utaendelea
Kule Myanmar waliwatesa kwasasa wamewapa afuan kidogo
Kuwatesa waislam hakuwezi kuwafanya muuondoe uislam yaani mnajidanganya
Uislam kuitawala dunia nisuala lililowazi kabisa nalisilo nashaka ndanimwe nisuala la muda tuuuu
 
Unaangaliaga taarifa ya habari jinsi wapalestina wanavyolia au unasikiliza stori za vijiwe vya kahawa
Wewe ulitaka wacheke sasa yaani mnapigwa mabomu halaf mucheke au unataka wacheke kama wanavyocheka pale Ukraine wakipigwa mabomu na Russia
 
Kwanza kabla hutajifika kwa Mtume Muhammad.

Mwenyezi Mungu alisema Mtume atakae kuja atakuwa ni katika ma cousin wakina Mussa na mfano kama Mussa.

Mussa alipo owa ni kama Mtume Muhammad alipo owa wote walifanya kazi hapo kabla ya kuowa na walipendwa kwa uaminifu na heshima zao.

Mussa alichunga wanyama ndio ikawa mahari yake na Muhammad alifanya kazi kwa mke wake ndio akapata uaminfu wa kupendwa na mke wake.

Mussa aliheshimiwa na watu wake kama vile Mtume Muhammad.

Hio ya kuoa bint ana miaka 9 nyie ndio mliona lini kazaliwa bi Aisha au wazazi wake? Kwani Aisha aliolewa kwa nguvu? Nyie si ndio mlimzulia hata mama wa Yesu kuwa mzinifu kabla ya Yesu kuongea [emoji1]

Nyie uwongo ndio asili zenu kwa sababu alianzisha Ukristo aliota kamuona Yesu [emoji1] vipi umuote Yesu wakati hata kumjua humjui huyo aliota shetani.

Kwani kuowa mwanamke tajiri ni kosa? au kuowa mwanamke mdogo ni kosa hata Mitume wa zamani mliona wake zao?

Mkawajua na umri zao au kwa kuwa Mtume Muhammad hakutaka ujinga wa paulo, alikuja kusafisha ujinga wa Paulo ndio mmemchunguza mpaa umri wa wake zake eti Aisha alimuoa ana miaka 9, wakati watu wote wanafahamu umri wake ulikuwa miaka 18 kutokana na ukweli wa walio shuhudia.
Huu utetezi hauna mashiko, huyu mtume alikuwa kibenten aliyetumia vizuri fursa. Kuhusu kuoa watoto, angefufuka leo, Kisutu kungemhusu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nikwamba hata akiachwa ama alivyo achwa hana madhara
Suala la kuondoka ghaza nisuala la kuda muda tuu
Huko china kutesa waislam hakuanza leo na wala hataanza kesho ila uislam utaendelea
Kule Myanmar waliwatesa kwasasa wamewapa afuan kidogo
Kuwatesa waislam hakuwezi kuwafanya muuondoe uislam yaani mnajidanganya
Uislam kuitawala dunia nisuala lililowazi kabisa nalisilo nashaka ndanimwe nisuala la muda tuuuu
Upo serious mkuu?😀
 
Russia hawezi kuwapa silaha au kuwasaidia adui wa Israel.
Sabubu Israel walikataa kuipatia Ukraine sila na mfumo wa Iron Dome ili wakapambane vizuri na Russia.

Hizo ni ndogo zako za mchana.
 
Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa.

Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina kwa Ukraine ili kipigo kwa Urusi kiwe ni cha haraka.

Misaada ya Marekani imekuwa ikitolewa kwa mafungu na kupitishwa kwenye mabaraza ya mabunge ya nchi hiyo.

Miongoni mwa silaha nzito zilizotolewa kwa Ukraine ambazo hata watoto wadogo wamezisikia ni pamoja na Himars, vifaru vya kisasa vya Abrams na Bradley.

Karibuni kabisa Ukraine imepatiwa silaha nzito zaidi za ndege za kivita matoleo ya kisasa.

Urusi imekuwa na fursa za uzoefu wa kivita na ukubwa wa jeshi na silaha za kisasa pengine kuliko za Marekani.

Hata hivyo imekuwa ikipata hasara kubwa za kivita ikiwa ni pamoja na kuzamishwa kwa meli zake za kivita na kuripuliwa vituo muhimu vya kijeshi pamoja na kuuliwa kwa idadi kubwa ya askari wake kutokana na silaha hizo za Marekani pamoja na washirika wake wa NATO.

Kuanza kwa vita vya Israel na Palestina kumeisogeza sana Marekani katika vita hivyo kutokana na ushirika wake na Israel.Kwa bahati mbaya wapalestina wamekosa watu wa kuwaunga mkono kati ya wale wenye nguvu za kijeshi na ambao ni ndugu na majirani zao.

Ni watu wawili pekee ambao wamejitokeza na kujitangaza kuwaunga mkono Hamas wanaoongoza mapambano upande wa Palestina.

Watu hao ni wanamgambo wa Hizbullah na wale wa Houth wa Yemen.

Wakati Hizbullah ina silaha nzito kuliko za Houth lakini imekuwa ikipigana huku ikihofia kulaumiwa na serikalli yao ya Lebanon ambayo ina uhusiano mzuri nayo na kila mmoja akijizuia kumuudhi mwenzake.

Ukiacha Hizbullah,wanamgambo wa Houth wana ari zaidi ya kupigana na Israel na kila anayeisaidia kuuwa wanaowaita ni ndugu zao.

Inaonekana hasira na nia za Houth wangekuwa na silaha kama zile za Hizbullah tu basi mashariki ya kati pasingekuwa pahala salama tena kwa Marekani na Israel.

Katika hali hiyo ingetarajiwa sana kuwa Urusi ingeona ni fursa nzuri kuitia adabu Marekani ambayo imeisababishia hasara kubwa sana ikiwemo vifo vya maelfu ya askari wake.

Wangeipenyezea Yemen chini ya Houth makombora yenye uwezo wa kupiga meli na kuizamisha sio vile vikombora ambavyo hupiga na kusababisha moto tu ambao ukiwahi kuzimwa meli inaendelea na safari yake.

Urusi ingeipatia Yemen yale makombora yake yanayosafiri angani na kupiga chenga makombora yanayoyafukuza na hatimae kutua yalipokusudiwa.

Wangeipenyezea ndege angalau moja ya Sukhoi 24 au chini yake ambazo zina uwezo wa kuruka mpaka ndani Israel na kupiga na kurudi.

Iwapo yote hayo yataitangaza Urusi rasmi kuwa imeingia vitani na wachokozi hao, basi angalau ingetuma vikosi vya Wagner pamoja na droni z kisasa zaidi ili ziweze kupiga maeneo ya kusini ya Israel kama vile zinavyopiga bandari za ukraine zinazosafirisha ngano za nchi hiyo.

Yote hayo ingekuwa ni kulipiza kisasi kwa Marekani iliyoisababishia hasara kupitia Ukraine.

Kinyume chake Marekani imejileta karibu kwenye vita na Yemen imewachwa bila kupewa msaada wa maana kuendeleza au kumaliza vita hivyo.Sababu ni ipi hasa?
Sikusoma makala yako yote, ila ninajibu paragrph ya kwanza tu ambayo ni uwongo mtupu. Urusi iliivamia Ukraine kwa makusudi tu, Marekani haina ushiriki wowote katika vita hiyo. In fact Marekani ilitangaza kuwa Urusi ilikuwa inajiandaa kuivamia Ukraine kutokea pande tatu, na juhudi za kidiplomasia zikaanza kumshawishi Puti asianzishe vita. Putin huyo aliyekuwa akikaa kwenye meza ndefu sana akadanganya kuwa hakuwa na mpango wa uvamizi huo lakini mwishowe kweli akaivamia Ukraine. Kwa hiyo kupindisha ukweli kwa kuisingizia Marekani klwenye vitanhiyo ni uwongo mkubwa sana. Kwanza Urusi ilianza kwa kuivamia Ukfraine mwaka 2014 na kujimegea peninsula ya Crimea. Safari walikuwa wanataka kjuichukua Ukfraine yote au nusu yake.
 
Back
Top Bottom