Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Sorry to say that but ur stupid! Alafu uko proud kabisa kukaa kwa shemejio miaka mi3? Unasubiri ugali kwa kengele? Mwanaume huyo! Hebu ona aibu kidogo, katafute hata vibarua vya ujenzi huko kwny masaiti kha!
Hapa nasubilia kuitwa maana nimesha piga interview kama 5 hivi
 
Sorry to say that but ur stupid! Alafu uko proud kabisa kukaa kwa shemejio miaka mi3? Unasubiri ugali kwa kengele? Mwanaume huyo! Hebu ona aibu kidogo, katafute hata vibarua vya ujenzi huko kwny masaiti kha!
Hivi mnadhani hizo kazi ni nje nje tu? Fundi anakua anasaidia fundi wake kabisa ..hata huko kumejaa wanapeana wao kwa wao..maisha sio kama unavyofikiria!
 
Umetisha sana aisee.. Hizi huwa nafanya pia ndio maana nimedumu sana hapa.. Huwa naamka mapema sana kabla ya mtu yeyote, napukuta gari yake , naandaa madogo wenyewe akiamka wanakuta mambo mengi yasha kamilika..
Hahahaaa Shem uko vizuri aisee jiskie kama upo nyumbani ni mambo ya mpitotu haya utakuwa poatu. Tunakupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tunawachukulia poa sana mashemeji zetu, kama mtu hujui maisha unaweza kuona karaha kukaa na ndugu(iwe ndugu yako au wa mke) lakini kama imepitia life la kibongo utaona kawaida sana. Muhimu usiishi kama mzigo, jitume, fanya vikazi vidogo vya home, usiwe mtu wa kulala ovyo, onyesha juhudi za kutafuta pesa hata kujishikiza sehemu, usiwe mlevi na usipende kurudi nyumbani very late.
 
Back
Top Bottom