Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan boss usije kujidanganya ukaondoka kwenu ili hali hawaja kufukuza au hakuna tatizo lolote.. Mim nataman sana ningekuwa na kwetu panapo eleweka kila kitu free..Nina 21 niko home ila napaona pachungu haswa..
Bahati mbaya sina dada. Huu mwaka ndio wa mwisho.. Hadi nikifika birthday yabgu june inabidi niwe nishajua 2021 nitaishije kitaa.
ila 28 parefu boss
Thanks sana kwa ushauri nazingatia sana hili..Privacy utaipata ukiwa kwako, najua at your age unatamani uwe na faragha hata ukimleta demu u-enjoy naye hapo, ni watu wachache watakubali ufanye hivyo coz hapo kuna watoto wadogo, tunasema utawafundisha tabia mbaya.
Kingine, waheshimu na kuwasaidia watoto kimasomo, kuna wimbi la vijana(wajomba/baba wadogo) kuwaharibu watoto kingono, usifanye hivyo ni dhambi kubwa sana, mashoga/lesbians wengi wanatokana na hawa watu.
So privacy itakuja ukiwa kwako, vumilia.
HakikaHii ni kama unakaa sehemu yoyote ambayo sio kwenu, sio kwa shemeji ti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa mfumo wa nchii hii jaribu kubadili mbinu usije kuzeekea kwa shemejiBoss kilimo nacho kinahitaji uwe na shamba pia nakamtaji ka mbolea.. Na isitoshe sisi ni wale wa mjini mjini tu hata bush kwetu hatupafahamu
Njoo huku nikupe shamba pori ulimeBoss kilimo nacho kinahitaji uwe na shamba pia nakamtaji ka mbolea.. Na isitoshe sisi ni wale wa mjini mjini tu hata bush kwetu hatupafahamu
Ukiondoka hapo kwa shemeji utapata kazi, angalau ya kukuwezesha kula; kuendelea kubaki hapo inamaanisha kuna baadhi ya kazi unabaguaHata hamu ya msichana ipo basi.. Apa nawaza nipate kazi tu..
Niko Aruha,shamba lipo Tabora ekari 10Boss unapatikana wapi?. Kama upo siliazi nipo tayari
Umesoma fani ganiKazi sijabagua ni vile sina bahati nime fight sana kutafuta kazi
Kwaiyo huenda akawa anachangamsha genge sio me wasiwasi wangu ni the way alivyo na over confidence kwa jambo ambalo ni nonsense.Mara unaishi kwa shemeji mara mama mkwe msumbufu..humu JF wakweli wachache sana.