Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Kwenu??? au kwako???Hii ni kama unakaa sehemu yoyote ambayo sio kwenu, sio kwa shemeji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenu??? au kwako???Hii ni kama unakaa sehemu yoyote ambayo sio kwenu, sio kwa shemeji tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukikamata demu utampeleka wapii?Hahahahhaha izo mambo sio zangu boss..
Boss tatizo umesoma kichwa tu hujasoma habari kamili... Mim sijaoa bado nafight nipate kazi kwanza.Kwaiyo huenda akawa anachangamsha genge sio me wasiwasi wangu ni the way alivyo na over confidence kwa jambo ambalo ni nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema kwenu au kwako si kitu kilekile tu? Mimi ninavyobehave nyumbani kwangu ndio hivyohivyo nabehave nyumbani kwetu
siyo unapukuta gari tu ...unatakiwa uoshe gari liwe safi kabla hajatoka na akirudi....usisahau kufua boksa zake pia we boya....pia akiwa anongea hata pumba muunge mkono huku ukicheka cheka pambafUmetisha sana aisee.. Hizi huwa nafanya pia ndio maana nimedumu sana hapa.. Huwa naamka mapema sana kabla ya mtu yeyote, napukuta gari yake , naandaa madogo wenyewe akiamka wanakuta mambo mengi yasha kamilika..
Boss hela huja na kupotea.. Ndio maana unasikia kuna watu walikuwa matajiri wamefilisikaKama uliwahi kushika hela ambazo mimi sijawahi shika na leo unakaa kwa shemeji yako wewe ni BOYA tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilitumika boss zikapotea jumla......na tumesha wai shika hela ambazo wengine mbaka mnakuja kufa haiji tokea ukazishika kwa mkupuo
MKUU SASA HIYO MIPESA YOTE ILIENDA WAPI MKUU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema kwa shemeji ana amani na kila kitu anapata, ni ngumu sana kwa mtu wa hv kuwaza inje ya box maana hata kazi atakuwa anachagua na vibarua ataona sio hadhi yake. Lkn angekuwa anaishi kwa kudaiwa kodi, umeme, maji, na huku huna uhakika wa mkono kwenda kinywani, angepata shughuli ya kufanya.Ukiondoka hapo kwa shemeji utapata kazi,angalau ya kukuwezesha kula;kuendelea kubaki hapo inamaanisha kuna baadhi ya kazi unabagua