Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Jaribu kuongezea na fani nyingine inayoweza kuwa mbadala wa hiyo....au nenda veta soma hata fani ya mechanical,ingia gereji upate shilingi mbili tatu...huku ukisubiri kupata kazi uliyoisomea
Ni kweki nimefanya ivyo kwa sasa nasomea Information technology .. Nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Wengi watakukashifu kwa maana yanaweza kuwa hayaja wakuta..pole Sana aisee

Mimi nilikaa kwa shemeji zaman Sana udogon nikiwa shule ya msingi Tena wakat wa likizo ila machache niliyoona yalinifanya nichukie maisha ya kukaa kwa mashemej so kwako najua itakuwa mtihan Sana katika utu uzima huo
Kazana utoke hapo muda utakapofika,vumilia Hadi muda sahihi ukifika usije ukatoka kwa kulupuka ndgu
Ngarash.
Navumilia uzuri tunaishi vizuri sana .. Shemeji hanaga matatizo na mtu..ila soon nikipata kazi naondoka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sham777,
shemeji yangu alinileteaga habari hizo akawa analala sebuleni enzi hizo nina chumba na baraza tu hataki kuondoka kwa dadake,nikaanza mtindo akishalala akishazima taa tu ya sebuleni kuanza kulala nampa dada mtu mgegedo wa kukata na shoka anapiga yowe chumba kizima usiku kucha, shemeji kavumilia kashindwa katafuta marafiki waliosoma wote sijui chekechea huko kaenda kujibanza nao gheto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha siku tumekula makofi mi na dadayangu kisa kugombelezea shemeji kalala nje siku 4 na housegirl.
Jamaa katoka kucheat na vibao juu tukala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2297]
Hahahahahhahahaha dahh shida sana aisee...
 
mimi shemeji zangu(mume wa dada) wala si kwamba siwezi kuishi kwake tu bali pia siwezi kusave namba yake kwa simu yangu...hii ndo kanuni ya kibaharia.
 
Back
Top Bottom