Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Jaribu kuongezea na fani nyingine inayoweza kuwa mbadala wa hiyo....au nenda veta soma hata fani ya mechanical,ingia gereji upate shilingi mbili tatu...huku ukisubiri kupata kazi uliyoisomea
Ni kweki nimefanya ivyo kwa sasa nasomea Information technology .. Nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Navumilia uzuri tunaishi vizuri sana .. Shemeji hanaga matatizo na mtu..ila soon nikipata kazi naondoka
 
[emoji122][emoji122][emoji122] Ushauri mzuri sana huu,kuna madogo huwa wanajisahau kabisa na kuona kama ni kwao.

macson
Shemeji umeamua ufunguke naona πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha siku tumekula makofi mi na dadayangu kisa kugombelezea shemeji kalala nje siku 4 na housegirl.
Jamaa katoka kucheat na vibao juu tukala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2297]
Hahahahahhahahaha dahh shida sana aisee...
 
Usifanye Betting Wakati Unakaa Hapo!!!πŸ™„πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mimi shemeji zangu(mume wa dada) wala si kwamba siwezi kuishi kwake tu bali pia siwezi kusave namba yake kwa simu yangu...hii ndo kanuni ya kibaharia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…