Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Ila wazazi wengine mmmh!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni afadhari kuishi kwa dada yako aliyeolewa, kuliko kuishi kwa kaka yako aliyeoa.

Wanaume kikawaida wanaume ni dis-minder. Matatizo yanayotupata kwa mashemeji wa kiume huwa psychologically tunayatengeneza wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umeongea point sana.. Mim kote nimesha pitia.. Mke wa kaka akisha kuchukia ujue hapakaliki tena
 
mimi shemeji zangu(mume wa dada) wala si kwamba siwezi kuishi kwake tu bali pia siwezi kusave namba yake kwa simu yangu...hii ndo kanuni ya kibaharia.
Hhahahahahaa watu mna life style yenu kali sana..
 
Naongezea.

Usijisikie Vibaya, unaposikia miguno ya kimahaba kutoka kwa Dada Yako pindi umelala ukaamka Usiku (hapo sio kwako)

Kama Shemeji Yako ana gari jitahidi kumuoshea kila asubuhi kabla hajaenda kazini..

Kila Ukitumwa dukani, unakimbia fasta unarudi ili akutume tena.

Ukikaa sebuleni ni marufuku kunyoosha miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na mazingira uliyo tokea na uliyo kulia.. Mim bado sana chalii najiona
Haki kwa shem kumekufanya unajibebisha hataree[emoji1787]

We una uchalii gani? Kijijini wenzako wenye umri huo wana wake wawili na watoto sita, na kila mke kamjengea geto lake!

We endelea kujiona mtoto, na ukifikisha 30 lazima akili ikukae sawa hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana Mwanamume shabbabi kuwa na mawazo ya "£@:~)* ni aibu sana.
 
Dah nimecheka sanaa wewe jamaa umenifurahisha sana,,big up kwa shemej yangu alinipiga tafu sana miaka ile nimepigika..naamini ipo siku atatoka Jela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…