Kwa kariakoo ukikosa sana unaondoka na 50000,kama upo mitaa iliyochangamkaOkay binafsi nalenga kufanya biashara hii maeneo ya kariakoo ni barabarani na silipi kodi labda umeme.
shukran mkuu,motor yake ina horse power ngapi?Kama hiyo kwenye profile yangu
Uko mkoa gani mie nahitaji mojaMi nauza 1.8m brand new toka china
Hii bei gani na uko mkoa gani?
Hii ungeipiga picha pasipo miwa ili ionekane vizuri
Una akili nyingi mnooo !! Watu washakariri mpaka wauze nguo ndio watatoboa.Okay binafsi nalenga kufanya biashara hii maeneo ya kariakoo ni barabarani na silipi kodi labda umeme.