Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Uzoefu wa biashara ya juisi ya miwa; Changamoto na ushauri

Ndugu kwa namna yoyote how much you earn for a day depends na soko la bidhaa, margin ya wateja, hali ya hewa na hali ya uchumi pia. Fanya research hii katika eneo unaloli target the ukipata majibu ndio probably the much you can get!!
 
Okay binafsi nalenga kufanya biashara hii maeneo ya kariakoo ni barabarani na silipi kodi labda umeme.
 
Okay binafsi nalenga kufanya biashara hii maeneo ya kariakoo ni barabarani na silipi kodi labda umeme.
Kwa kariakoo ukikosa sana unaondoka na 50000,kama upo mitaa iliyochangamka
 
IMG-20170127-WA0002.jpg
 
Hiyo ndiyo mashine ya kazi kama kweli unataka kufanya kazi, ukitaka hizo mashine na ushauri zaidi nitafute.
 
Back
Top Bottom