Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

Nimekosa sana mademu kwa sababu iyo [emoji23] hadi nimtongoze binti hunichukua zaidi hata ya miezi 5 na huwa wanakuwa wengiiiiiii nachuja mmoja mmoja siku nikishusha mali watu ehhhh

Na ninajicho la kuona mbali naweza nikaona demu watu wakasema wa kawaida then baada ya miezi 7 au 8 kila mtu anakuja Oya ni kweli mwanangu demu mkalii kinyama [emoji23]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa mwanamke yeyote ni tabia yake, ila anakua mzuri zaidi pale anapokua uchi mbele zako haijalishi umemzoea kiasi gani.
 
Kuna uzuri WA maumbile na uzuri WA Tabia.
Tabia nzuri haifanyi MTU awe na maumbile mazuri.
Uzuri WA maumbile ni ishu ya kijenetiki
 
Ni kweli usemalo . Ila uzuri wa mwanamke ni tabia yake na anapokua uchi mbele ya mwanaume wake ndipo anakua mzuri zaidi..

Nb uzuri wa mwanamke kimaumbile upo machoni mwa mwanaume wake anapo kua uchi, ila tabia ndiyo kila kitu
 
Ni kweli usemo . Ila uzuri wa mwanamke ni tabia yake na anapokua uchi mbele ya mwanaume wake ndipo anakua mzuri zaidi..

Nb uzuri wa mwanamke kimaumbile upo machoni mwa mwanaume wake anapo kua uchi, ila tabia ndiyo kila kitu

Tabia no ishu ya mtazamo na tamaduni (maadili, desturi, Mila na miiko)
Uzuri ni ishu ya kijenetiki.

Yaani Mwanamke mzuri wa maumbile akisimama Watu wote(namaanisha wengi) watamuona mzuri.

Sio lazima Mwanamke awe wako(Mkeo au Mpenzi wako) ndio umuone mzuri.
Mzuri ni mzuri tuu bila kujali anatabia Mbaya au nzuri..
 
Inakuaje pale mwanamke anapochukiwa na wanawake wenzake
 
Tabia no ishu ya mtazamo na tamaduni (maadili, desturi, Mila na miiko)
Uzuri ni ishu ya kijenetiki.

Yaani Mwanamke mzuri wa maumbile akisimama Watu wote(namaanisha wengi) watamuona mzuri.

Sio lazima Mwanamke awe wako(Mkeo au Mpenzi wako) ndio umuone mzuri.
Mzuri ni mzuri tuu bila kujali anatabia Mbaya au nzuri..
Uzuri context yake ni pana sana.

Wengine wana value sura ya kitoto ya kuvutia, Wengine hips ama tako. Wengine urefu, wengine rangi ya ngozi. Halafu kuna sie ambao tuna value character on top of looks.

Mie mwanamke anaweza asiwe na sura ya mvuto sana ila standard tu akawa na mwili uliojengeka vizuri tu hips na mguu wa bia kwa mbali rangi yeyote ile awe black, brown au light skinned with dry skin. Akiwa amechangamka na tabia za kike halisia anazo mideko mideko ile basi najikuta navutiwa nae tu.

Mambo yananoga zaidi akinivulia chupi kisha akawa na K nzuri pia. Lazma nidate nae zaidi. K ikiwa mbovu hapo tutasameheana tu.
 
"Mie mwanamke anaweza asiwe na sura ya mvuto sana ila standard tu akawa na mwili uliojengeka vizuri tu hips na mguu wa bia kwa mbali rangi yeyote ile awe black, brown au light skinned with dry skin. Akiwa amechangamka na tabia za kike halisia anazo mideko mideko ile basi najikuta navutiwa nae tu"

😀😀
 
Back
Top Bottom