Uzuri wa Mwanamke huwezi kuuona siku ya kwanza, Macho hudanganya.

Hii kweli kabisa
 
K mbovu ndio ipoje

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mtibeli Mimi Nasubiria hapa kula mzigo Kwa sifa ya mwisho maana umesema ndio ntakuwa mshindi πŸ˜†πŸ˜†

Mwisho ukitumia akili bila kujitoa ufahamu huyo mwanamke mzuri hayupo hasa Kwa akina sie ambao tuna shida ya perfection.
 
Hapa Boss kuna vitu viwili unachanganya , kuna mtu kuwa mzuri na kuwa na mvuto - unaweza kuwa mzuri lakini huna mvuto na unaweza ukawa mbaya au wakaida tu lakini una mvuto hatari - ukimkamata mtu hatoki
 
Ni wanawake wachache Sana duniani ni wazuri wakiwa uchi, MamaJ Ni mmojawapo[emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji16]ifike mahala sasa utupiemo na kaphoto ka uyo mchepuko sugu ili wananzengo watoe maoni ya viwango vya mam j wako[emoji16].
 
Sawa mtibeli Mimi Nasubiria hapa kula mzigo Kwa sifa ya mwisho maana umesema ndio ntakuwa mshindi πŸ˜†πŸ˜†

Mwisho ukitumia akili bila kujitoa ufahamu huyo mwanamke mzuri hayupo hasa Kwa akina sie ambao tuna shida ya perfection.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…