Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ukweli mtupu....pesa bila kusuguliwa= NothingWanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe pesa sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa
YesWanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe pesa sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa
Hujaamua tuNa kuna sisi tusio kwenye ndoa sababu ya vyote
Mmh, umejuaje kiongozi, kama sijaamua au sinaHujaamua tu