Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa!
Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe leo ukiulizwa "brigdes" gani zimebaki kwenye memory yako utapata tabu kuzikumbuka.
Mara kazi ya bridge ni kuvuta tension kwa msikilizaji, sasa wasanii wetu unakuta anaimba flat mwanzo mwisho, kwenye wimbo anachojua ni kuweka verse na chorus basi!