Uzuri wa nyimbo ni "bridges" kitu ambacho wasanii wengi wa hapa nyumbani kimewashinda!

"Najua ni ngumu kazi mpenzi wangu kukwambia,
Lakini inabidi mpenzi wangu kukwambia, vile ninavyohisiiiiii...."

Mehn yule manzi alijua kunimaliza na hii track.
Haa ha ile bridge ilibidi niirudie mara mbili mbili kusikia anachoimba, aliua sana!
 
Ile bridge ya Asha ni phenomenal, the best part of the Song mzee.

"Your my heart... my queen... my love...my star...my only one!"
Your my angel...your my angel! X2

Ile kitu Lamar aliipika mzee.
Huwa sichoki kuisikiliza, mziki wa zamani unavutia sana kuusikiliza tofauti na huu wa kizazi cha sasa.

Lamar alikuwa producer mkali sana kipindi hicho.
 
Haa ha ile bridge ilibidi niirudie mara mbili mbili kusikia anachoimba, aliua sana!
Sahizi tumebakia na entertainers hamna creativity tena
Huwa sichoki kuisikiliza, mziki wa zamani unavutia sana kuusikiliza tofauti na huu wa kizazi cha sasa.

Lamar alikuwa producer mkali sana kipindi hicho.
Yeah Lamar fundi sana wa beats. Hajawahi kuniangusha hasa kwenye hizi Zouk beats.
 
Naomba uniimbie bridge ya kasongo yeeyee
Tz weng hawaimbii hufungua midomo tu hv kweli mtu anaimba kuku kapanda baiskeli sijui so hua hazina adhar yyte hebu wamsikilize chamillion wa Uganda anavoimba riyality kuna vibao kama one sweet day ya Boyz 2men sijui Michael Jackson in we are the world dah ila watu wanatulia huku sijui nakupenda wewee wivu wivu ujinga ujinga àt least zuchu ile siend hile ina reality lakin sio zote ile kibuno hamna kitu
 
Mkuu pengine labda ni uelewa mdogo, huwa najiuliza hivi huwa hawasikilzi kabisa nyimbo za huko nje!
 
Ni yake so anakuwa full time mgahawani. Nadhan dogo mpemba yule.
Itakuwa kaona inamlipa zaidi kuliko muziki, kama ni mpemba inawezekana pia familia imechangia kuachana na muziki wa kidunia. Kuna jamaa nae mpemba kipaji anacho ila kwao hawataki ajihusishe na mambo ya muziki wa kidunia kwahiyo kaamua aachane na muziki asijetengwa na familia.
 
😁😁😁😁😁😁Hawataki mambo ya mzee yuswufu
 
Back
Top Bottom