Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Mkuu, bridge ina tie chorus na verse au chorus na chorus. Kwa mziki wetu sio lazima tuwe na bridege. Silaa kubwa ipo kwenye pre chorus na chorus yenyewe.Kama mdau mwingine alivyosema hapo, bridge huwa inaconnect verse na chorus, mara nyingi ni maneno yanayokuwa na key tofauti na wengi huwa inakuwa ya juu kidogo ila haipotezi maana ya wimbo, bridges ndizo zinatumika kuimbisha mashabiki majukwaani, ukipata wasaa wa kumsikiliza Taylor swift kwenye ngoma kama Cruel Summer au Getaway Car utaelewa vizuri maana ya bridges
Sijui vizuri format ya BongoFlava ila kwa Afrobeats. Intro + Verse + pre chorus + chorus + bridge (option) + verse.