Uzuri wa nyimbo ni "bridges" kitu ambacho wasanii wengi wa hapa nyumbani kimewashinda!

Uzuri wa nyimbo ni "bridges" kitu ambacho wasanii wengi wa hapa nyumbani kimewashinda!

Kama mdau mwingine alivyosema hapo, bridge huwa inaconnect verse na chorus, mara nyingi ni maneno yanayokuwa na key tofauti na wengi huwa inakuwa ya juu kidogo ila haipotezi maana ya wimbo, bridges ndizo zinatumika kuimbisha mashabiki majukwaani, ukipata wasaa wa kumsikiliza Taylor swift kwenye ngoma kama Cruel Summer au Getaway Car utaelewa vizuri maana ya bridges
Mkuu, bridge ina tie chorus na verse au chorus na chorus. Kwa mziki wetu sio lazima tuwe na bridege. Silaa kubwa ipo kwenye pre chorus na chorus yenyewe.
Sijui vizuri format ya BongoFlava ila kwa Afrobeats. Intro + Verse + pre chorus + chorus + bridge (option) + verse.
 
Inawezekana kwenye pop basi sio option, kilichofanya nistick mpaka sasa kwenye pop ni hizo bridges!
Ila kwanini unasema ni option wakati ndo kitu kinaachovuta tension probably ndo kinafanya ngoma iwe kali?
 
"Bora ugali dagaa kwenye amani, Kuliko wali nyama vitani, Mateso Vitimbwi purukushani, Kama unajiona kichwa shingo nani?"

aliskika harmonize kwenye bridge yake
 
Kweli kwenye pop Bridge ni muhimu.

Sisi wengi huku tunatumia structure ya ABABA wachache wanaozingatia bridge. Lakini hata kwenye pop na aina zingine bridge sio lazima. Ni maamuzi ya msanii. Mfano hizi nyimbo

Sisi wengi huku tunatumia structure ya ABABA wachache wanaozingatia bridge. Lakini hata kwenye pop na aina zingine bridge sio lazima. Ni maamuzi ya msanii. Mfano hizi nyimbo ni hit na hazina bridge : "Sorry" ya Justin Bieber na "Jolene" ya Dolly Partons
 
"Bora ugali dagaa kwenye amani, Kuliko wali nyama vitani, Mateso Vitimbwi purukushani, Kama unajiona kichwa shingo nani?"

aliskika harmonize kwenye bridge yake

Kali sana hiyo, asante kwa mwongozo!
 
Kweli kwenye pop Bridge ni muhimu.

Sisi wengi huku tunatumia structure ya ABABA wachache wanaozingatia bridge. Lakini hata kwenye pop na aina zingine bridge sio lazima. Ni maamuzi ya msanii. Mfano hizi nyimbo

Sisi wengi huku tunatumia structure ya ABABA wachache wanaozingatia bridge. Lakini hata kwenye pop na aina zingine bridge sio lazima. Ni maamuzi ya msanii. Mfano hizi nyimbo ni hit na hazina bridge : "Sorry" ya Justin Bieber na "Jolene" ya Dolly Partons

Asante kwa ufafanuzi mkuu!
 
Marioo kwenye 2025 🔥🔥

Mungu kaumba dunia, ina watu na viatu,
Tena kaumba dunia ina vitu na vituko,
Ila si tunavyopendana wataachana wao..

Moja ya nyimbo zangu pendwa mwaka huu
Huu wimbo nikimwiimbia mpenzi wangu analowana bila romance
 
Kwa ufahamu wangu.. Bridge ni maneno yanayotamkwa kama kiunganisho cha verse na chorus..

Ukisikiliza nyimbo nyingi utakuta kuna maneno baada ya verse hutamkwa kabla ya kiitikio kuingia.

Mara nyingi yanakuwa na flow tofauti na verse inavyoenda..
Kuna tofauti gani kati ya bridges na vibwagizo au ndio kitu hicho hicho kimoja?
 
Tz weng hawaimbii hufungua midomo tu hv kweli mtu anaimba kuku kapanda baiskeli sijui so hua hazina adhar yyte hebu wamsikilize chamillion wa Uganda anavoimba riyality kuna vibao kama one sweet day ya Boyz 2men sijui Michael Jackson in we are the world dah ila watu wanatulia huku sijui nakupenda wewee wivu wivu ujinga ujinga àt least zuchu ile siend hile ina reality lakin sio zote ile kibuno hamna kitu
Tatizo baadhi ya watu mnafos wasanii wafanye mnavovipenda nyie, unaitwa UBINAFSI uo!! Maana mnavoandika ivo as if watu wote wanapenda nyimbo za kuelimishana😃 mkuu kuna watu pia wanapenda mziki burudani tu sio mziki shule.. Na fasihi ni uwanda mpana sana, acheni watu watafute pesa aisee
 
Uongo huo, hayo ni masikio yako tu usi-generalize

Uzuri wa music sio bridges. Kwanza kuweka bridges imepitwa na wakati hiyo ilikua nzuri kwenye 32 bars. Sio sasa
 
Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa!

Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe leo ukiulizwa "brigdes" gani zimebaki kwenye memory yako utapata tabu kuzikumbuka.

Mara kazi ya bridge ni kuvuta tension kwa msikilizaji, sasa wasanii wetu unakuta anaimba flat mwanzo mwisho, kwenye wimbo anachojua ni kuweka verse na chorus basi!
Hizi ngono fleva sio nyimbo bali ni fujo tupu
 
Back
Top Bottom