Tunga yako mkuuNikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa!
Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe leo ukiulizwa "brigdes" gani zimebaki kwenye memory yako utapata tabu kuzikumbuka. Wasanii wachache mmoja wapo Alikiba huwa anazingatia hili, yeye huwa anaita silaha zake! Kweli ni silaha maana kazi ya bridge ni kuvuta tension kwa msikilizaji, sasa wasanii wetu unakuta anaimba flat mwanzo mwisho, kwenye wimbo anachojua ni kuweka verse na chorus basi!
Labda ndio zile "nyama tongeeeee nyama matonge"maana kasema Ali kiba anazingatia madaraja(Bridges)Mkuu mbona hata neno bridge katika nyimbo hujalifafanua?
Kwa ufahamu wangu.. Bridge ni maneno yanayotamkwa kama kiunganisho cha verse na chorus..Mkuu mbona hata neno bridge katika nyimbo hujalifafanua?
Mkuu kumbe ile sauti ya kike kwenye huu wimbo mwamba alimshirikisha Mariah Carey? Nasikia mwamba BF licha ya kipaji cha mziki kausomea hasa na ndie alimnoa Tony Braxton.Nikiwa kama mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva huwa naona kuna kitu kabisa kinamiss! Hawa wasanii wetu wa kuimba ambao tumekuwa tukiwaita wabana pua namna yao ya uimbaji huwa haishawishi kabisa!
Katika uimbaji kuna kitu kinaitwa "bridges" wasanii wengi huwa hawakizingatii kabisa, hata wewe leo ukiulizwa "brigdes" gani zimebaki kwenye memory yako utapata tabu kuzikumbuka.
Wasanii wachache mmoja wapo Alikiba huwa anazingatia hili, yeye huwa anaita silaha zake! Kweli ni silaha maana kazi ya bridge ni kuvuta tension kwa msikilizaji, sasa wasanii wetu unakuta anaimba flat mwanzo mwisho, kwenye wimbo anachojua ni kuweka verse na chorus basi!
Mkuu mbona hata neno bridge katika nyimbo hujalifafanua?