Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Watu wa Arusha popote mlipo chuma hiki hapa wakuu. Wakati wenu kupata maendeleo ndio huu.
Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Kiukweli Arusha inakwenda kuwa maarufu kuliko Dar es Salaam.
Mitandao yote itafulika likes, na comments. Sio instagram, Facebook, X, Threads, na hapa jamii forum ndio kabisa.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Bwana Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.