Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Labda ni habari mbaya kwa wachawi na wakuu wa Giza ! Lakini kwa watanzania kwa sasa makonda yupo ndani ya mioyo ya watu ! Ni nabii wa kizazi kijacho asiyebadilika hata iweje! Huyu sio mtu wa kawaida ,kiroho mtu wa aina hii tunamtaja kama mtu mwenye kibali maalumu .
Pengine ni wachawi tu na wakuu wa Giza watatamani kuufunga mlango huu wa Paulo makonda walakini hawataweza ,kwa shoka kwa msumeno au kwa panga hii ni silaha imeachiliwa kutoka juu ..hakuna mwenye uwezo wa kuipoteza kabisa ! Ni yeye makonda miaka michache ijayo atakuwa rais wa nchi hii ! Au mnataka au hamtaki !
Lakini itakuwa ngumu sana kuizima nyota ya huyu mtu! Mtukaneni kama mnaweza lakini msisahau kuweka akiba ya maneno ! Huyu ni kijana Bado mbichi lakini jina lake linanguvu kuliko mwanasiasa yoyote kwa sasa iwe ccm au upinzani !
Ndiye anayetazamwa zaidi kuliko wote ! Angalia Leo wameapishwa wengi lakini mjadala ni makonda,,angalia uteuzi uliopita waliteuliwa wengi lakini mjadala ni makonda, alikuwa mwenezi kwa muda mchache lakini kaitikisa nchi nzima !
Wananchi walikuwa wanalia kutaka angalau kumuona tu! Mpaka sasa Kuna wananchi ukiwaambia makonda sio mwenezi Tena hivyo ile kazi nzuri aliyokuwa anaifanya imeishia hapo wataangua kilio. Ndivyo huwa inakuwa kwa mtu aliyebeba ukombozi wa watu mara zote huishia Kutukanwa sana ! Narudia kuseme msiache kuweka akiba ya maneno !
Huyu makonda hata Leo akiamua kujiunga na chama chochote upinzani basi ujue mgombea yoyote atakaesimama nae ataisoma namba ! Wengi wanasema ni mbabe ,,lakini ukweli ni kwamba ubabe ni Moja ya sifa za kiongozi Bora