Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
ARUSHA - : MAKONDA KARIBU KAMA MTUMISHI WA SERIKALI, ILI TUKUPATIE USHIRIKIANO
View: https://m.youtube.com/watch?v=8x4wuLp0pYs
Mambo muhimu ya kipaumbele ni kurejesha soko la Tanzanite Arusha, soko la Mererani la Tanzanite limeshindwa kuiletea mapato mengi serikali kama lilivyokuwa hapa Arusha, wakaazi wasema takwimu hazidanganyi hivyo alishughulikie suala hili mapema.
Eneo jingine mbali na madini ni kilimo na utalii ndiyo injini ya uchumi wa Arusha.
Pia kuelekea chaguzi za serikali za vijiji na mitaa 2024 na uchaguzi 2025 wakaazi wamwambia mkuu wa mkoa awe makini kutoa haki na akifanikiwa hayo yaani madini, kilimo, utalii na uchaguzi wa haki basi Paul Makonda atapata ushirikiano mzuri ila kinyume na vipaumbele hivyo hawatasita kumueleweshe kwa kumuambia ukweli.....
huyu jamaa uchaguzi ujao anaweza kuchomoa bandama la mtu,duh,,haaa,,!