Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #121
Hapa mbona umeweka kambiMimi umeniona kwa makonda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mbona umeweka kambiMimi umeniona kwa makonda?
Huna akiliWewe unamwonaje Makonda mkuu?
Mimi nimeonyeshwa hayo nayo yasemaAcheni kumuhusisha Mungu na mambo ya kijinga
Nakala ya hicho kibali iko wapi?Wale mnaompiga vita Makonda mnapoteza muda.
Makonda ana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.
Ndio maana huwezi mkuta Makonda anafanya uchawa.
Siku zote anachapa kazi na kuungwa mkono kila anapopita.
Wasio muunga mkono Makonda ni kwasababu hawana kibali cha uongozi kutoka kwa Mungu.
Wewe umesema wanachi wote wapo kwa makonda je hapa ndo kwa makonda?Hapa mbona umeweka kambi
Maradhi ya akili yametamalaki hapa nchiniMimi nimeonyeshwa hayo nayo yasema
Kumroga mtu huwa kunaanza na wivu kwanza. Kwa wivu ndio uchawi wenyewe. Mtu anamwonea wivu mwenzake anafanya vizuri au anasifiwa wakati yeye hawezi hapo ndio moyo wake huanza kumpinga kila analofanya mwisho wa siku anamloga.Naunga mkono hoja,kwasisi tuliopitia na kuona haki zinavyonyang'anywa na Sheria kupindishwa,tunamwelewa sana makonda kitu anachokifanya
Nimesha eleza kila kitu kinachofanya hivi ni wivu ambao ndio uchawi.Moto wa kichaa pia ni moto,
Siku ukishika kwenye nyumba ndio utajua
[✓]Naunga mkono hoja,kwasisi tuliopitia na kuona haki zinavyonyang'anywa na Sheria kupindishwa,tunamwelewa sana makonda kitu anachokifanya
Hakuna atakaye kukumbuka.Sifa ya Makonda ni kwamba anajua waganga wengi (wachawi) na ndio inamuweka karibu na viongozi wa CCM, hasa yule aliyepumzika kwa amani
Makonda alikuwa na sifa ya kumpeleka marehemu kwa waganga eti wakasaidie kusafisha ikulu eti ina majiniHakuna atakaye kukumbuka.
=========
Wachawi na waganga wamejaa CHADEMA. Kila kukicha ni kushambulia Makonda akiwa anafanya kazi zake badala ya kuweka Sera zenu mezani.
Wacheni wivu NyuChwa wa CHADEMA-Nyumbu Chawa.
Tupia japo kapicha ka ushahidi tukuamini.Makonda alikuwa na sifa ya kumpeleka marehemu kwa waganga eti wakasaidie kusafisha ikulu eti ina majini
Wahenga walisema jambo usilolijua ni kama usiku wa gizaMchawi hawezi kukaa sehemu moja na mtu wa Mungu.
Makonda ni mtu wa Mungu ni mtu wa haki.
Wachawi hawawezi kumkubali hata siku moja.
Shida inaanzia hapo.
Siasa haihitaji ushahidi wa kiwango cha MahakamaTupia japo kapicha ka ushahidi tukuamini.