Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nchi haina Idea zingine ni full uchawa kujikomha, kujipndekeza. katika post 10 jamii forum basi post 6 ni za kujikombaUzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Kuna wakati huwa unaandika pumba hadi naona aibuUzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Danganyaneni tu,halafu baadae kidogo mnaanza kumcheka🤔Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Like tena khaaa!Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Mambo hayo sijayasikia ktk siasa za Zanzibar kuabudiwa mtu. Ndio muengereza akaitawala kiurahisi Tanganyika watu wenyewe kama nyinyUzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Akijifunza mipaka yake na wapi pa kuongea nini basi atakuwa mzuri. Lakinakiendelea na hiyo rebel style hata huko nako waamtoaUzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
the gentleman is real flexible, and fit to work at any environment and capacity 🐒Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
wewe kubwa mwenye akili mbona hamna anaekuonaKubwa jinga tu lile linatumika hovyo na yy bila kujua linajitumikisha watoto wamjini wanamchora tu
Sawa chawa wa Makonda. Ila punguza unafikiUzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Unaijua nyota? Ingekuwa nyota asingegaragazwa Kigambonijamaa anatajika,tatizo nyota meneja nyota kali inambeba.
haaa,,Ndungulile alimzidi miundombinu.Unaijua nyota? Ingekuwa nyota asingegaragazwa Kigamboni