Kama uwezo hamna tuachane na mambo ya VAR, tupeleke nguvu kwenye kuboresha viwanja kwani havifai kabisa kuchezewa mpira.
Waliopora viwanja vya wananchi wameshindwa kuviweka kwenye hali inayofaa kukubalika kuchezewa mchezo wa kabumbu na wao wanachoangalia ni kujiingiza tu pesa.
Swala la viwanja ni muhimu kuliko hiyo VAR kwani hiyo VAR ninavyoiona sio 100% foolproof bado tu ina mapungufu kwani hakuna mfumo unaoweza kuwa wa uhakika kwa asilimia mia moja.