Vale Nafaka atetemesha Nairobi na kuacha gumzo kila mahali.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Mrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.

Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.

Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
Screenshot_20261030_104436_Gallery.jpg

Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.

Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
 
View attachment 3701389

View attachment 3701386

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
Wewe kichaa, mshauri afanye mazoezi akiendelea hivyo miaka michache ijayo hataweza kufanya hio kazi. Obesity itamsumbua.
 
Mrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.

Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.

Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
View attachment 3701389
Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.

Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.

View attachment 3701386

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_

HIVI UMEFIKA NAIROBI SIKU ZA KARIBUNI AU UNAFIKIRI NI KAMA DAR?
Ungetuambia pia amefika huko Nairobi na fuso ngapi za vitunguu ili tuone kweli zinatosha kutetemesha jiji...
 
sijawahi kuelewa, hivi ukubwa wa makalio ya mwanamke huwa hauna limit? i mean, ni makalio makubwa kiasi gani labda mtanzagiza anaweza kusema "haya sasa yamezidi" ? kwa maana kwangu sioni huo uzuri unaosifiwa hapo bali naona ugonjwa tu, mwanamke is overweight kwa unene lkn anasifiwa kuwa ni mzuri, duh ...
 
Mrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.

Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.

Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
View attachment 3701389
Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.

Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.

View attachment 3701386

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
Wewe ni ke au me.
 
Back
Top Bottom