Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kuliko huyuHuyu mtoto kwenye sekta ya tako hana mpinzani kwa sasa. Yaani analemewa.
Kuliko huyuHuyu mtoto kwenye sekta ya tako hana mpinzani kwa sasa. Yaani analemewa.
Huyu mkaa uchiKuliko huyu
Hapo lazima uwe KijanaNaaaaaam
Hao unao waita matajiri umeangalia vigezo Gani? Tajiri lazima ichukue mtoto alie Nona huwezi kua masikini ukahimiri demu mwenye shepu, hiyo ulaya uliokaa ni uzushi na utapeli sema huna pesa ya kumhudumia mwenye shepu wewe🤣Kukaa kwangu mamtoni kumenifundisha kua wanawake wanene (full obesity) ni chakula ya maskini; matajiri na watu wote wenye pesa zao wengi wao wanapenda totoz nyembamba au medium sizes kwa lugha zetu wanawake portable. Wanene wanene kama huyu dada wanajulikana wagonjwa, wana obesity. Na ndio maana ngozi nyeusi na haswaa waafrika tunapenda matipwa tipwa ni shauri ya umaskini wetu.
Mhh jamani ValeMrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.
Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.
Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
View attachment 3701389
Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.
Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.
View attachment 3701386
God bless and Protect Vale Nafaka.
Die hard secret admirer!
Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
Muda sio mrefu ngoma inapasuka hii maana inavuma sana.Mrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.
Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.
Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
View attachment 3701389
Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.
Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.
View attachment 3701386
God bless and Protect Vale Nafaka.
Die hard secret admirer!
Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
Sema wazungu wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana. Yaani wasichana wembamba hupendwa mno na hivi viumbe. Angalia Victoria Beckham alivyo.Hao unao waita matajiri umeangalia vigezo Gani? Tajiri lazima ichukue mtoto alie Nona huwezi kua masikini ukahimiri demu mwenye shepu, hiyo ulaya uliokaa ni uzushi na utapeli sema huna pesa ya kumhudumia mwenye shepu wewe🤣
Hakuna umaskini wala utajiri. Kila mtu na choice yake. Hao wazungu wakipelekwa Bukoba au Mbeya lazima wabadili utamaduni wao wa kiwaki.Kukaa kwangu mamtoni kumenifundisha kua wanawake wanene (full obesity) ni chakula ya maskini; matajiri na watu wote wenye pesa zao wengi wao wanapenda totoz nyembamba au medium sizes kwa lugha zetu wanawake portable. Wanene wanene kama huyu dada wanajulikana wagonjwa, wana obesity. Na ndio maana ngozi nyeusi na haswaa waafrika tunapenda matipwa tipwa ni shauri ya umaskini wetu.
KuNA NNI hapoo.... Au kisamakii!!?Mrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.
Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.
Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
View attachment 3701389
Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.
Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.
View attachment 3701386
God bless and Protect Vale Nafaka.
Die hard secret admirer!
Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
Am a die hard secret admirer.We ni nani? Who are you?
Habari zote za vale nafaka we ndio unaezileta hapa jf, je upo kundi Gani katika hili:
1. Chawa wa vale nafaka, mpambe
2. Mfanyakazi wake
3. Unafukuzia mzigo pengine
Mkuu kama huna swaga omba msaada mkuu uvute chombo alafu kuhusu shepu Kuna watu wako vizuri pote, nisome chini huko nimekupostia chombo🤣🤣🤣
Upo chaka gani aisee haujaona wanawake wazuri upo busy na huo mzigo..Am a die hard secret admirer.
Hanijui na wala hilo sijali nachojali I love her with my life.
Sema tena na tena. Ama kweli wanaume tunatofautiana. Halafu maskini yeye mwenyewe inaonekana kama amepata ''kiburi'' akidhani ni mrembo anayetingisha dunia. Hawa ni wale wale sampuli ya kina Mariam biriani.Sasa huyo tukunyema ana urembo gani? Au wewe ndo Vale mwenyewe
Ni kweli mkuu ila kusema masikini ndio wanamiliki mademu yenye shepu kazingua, nambie ni masikini Gani anaweza himili shepu la kajala, nicolejoyberry, wolper, Irene uwoya ,aunt, wema wa kipindi kile,? Mkuu hayo ni mapenzi binafsi ila mwanamke akiwa mzuri alafu ana tako huyo sio level za masikini🤣Sema wazungu wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana. Yaani wasichana wembamba hupendwa mno na hivi viumbe. Angalia Victoria Beckham alivyo.
Kwani surgery zimeanzia wapi? Kwanini wafanye surgery ilihali wanaume zao wanaenda slim ladySema wazungu wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana. Yaani wasichana wembamba hupendwa mno na hivi viumbe. Angalia Victoria Beckham alivyo.
Utabaki una kula kwa macho alafu mi naanza kumuimba naichapa yote hiyo nikuumize roho tu mkuu🤣🤣Am a die hard secret admirer.
Hanijui na wala hilo sijali nachojali I love her with my life.