Vale Nafaka atetemesha Nairobi na kuacha gumzo kila mahali.

Vale Nafaka atetemesha Nairobi na kuacha gumzo kila mahali.

Huyu Binti sio mbaya na sio mzuri ni wa kawaida tuu babanguuuu sasa ana mwili mkubwa tuu

Kuna tofauti ya haga, hips, paja hips, paja paja haha.... Haga hips, huyo wako sjui ikoje

Seran haiwezkn nichangie sherehe upost status nikwambie nani kakuchagulia hiko kitambaa au rangi unune.... Kwann upokee pesa yangu ??

Clock iiiiit 😆
Haga ni kitu gani we mtoto!

Hahaaa ungemchagulia vyote!

Cloockk eeettt👌🏽👌🏽
 
Mimi sijawahi kuwa na app ya tiktok. Sitarajii kuwa nayo.
Screenshot_20261030-142438.png

Unajipa umuhimu tu,hadi kina the rock wapo tiktok tena kwenye live zao kama kawaida utasikia tap tap screen,we chawa tu hata usipokua na app ya tiktok ndio utapunguza nn!
 
Mrembo, mjasiriamali, mkulima na msomi Valentina Gabriel al maarufu Vale Nafaka katetemesha jiji la Nairobi nchini Kenya na kuacha midomo wazi na mshangao kwa uzuri na umbo lake la ajabu la kuvutia.

Hali hiyo imetokea wakati mrembo huyo mwenye miaka 24 tu alipozuru Nairobi kwa shughuli za biashara ya vitunguu.

Kila alipokatiza mitaa ya Nairobi shingo za watu ziliumia kwa kugeuka kumuangalia binti huyu wa aina yake aliyependelewa na Mungu kila idara na kila kitu.
View attachment 3701389
Vale Nafaka kwa juhudi zake binafsi ameweza kuhakikisha kila Mtanzania anapata mezani mlo kamili mezani.

Pia licha ya Mungu kumbariki kwa sura na umbo Vale ni mkarimu, mpole, mshika sheria za nchi (law abiding), mchapa kazi mtu wa watu na mcha mungu hana madharau kabisa na ana moyo wa kutoa kwa wahitaji na moyo wa kusamehe ukimkosea.

View attachment 3701386

God bless and Protect Vale Nafaka.

Die hard secret admirer!

Grahams MamaSamia2025 Brelim Skoro_
Angevaa Dera, tuone...
 
Nilidhani ni Lucas Mwashambwa wamefanana
Nzuri ndani ya nguo! Akitoa hizo nguo ni ghasia
Na usikute anakale ka harufu ka kukera kwa kuto jiosha vizuri
 
Back
Top Bottom