Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Siku ya kuichapa takuita dirishani, uwe unachungulia, taacha dirisha wazi mkuu🤣🤣🤣🤣
Siku ya kuichapa takuita dirishani, uwe unachungulia, taacha dirisha wazi mkuu🤣🤣🤣🤣
waafrika masikini mnaoishi kwenye bara la giza, bara masikini kuliko mabara yote duniani mnatetea upuuzi wenu uliojengwa kwenye misingi yenu ya umasikini 😀 😀 😀 😀 😀Hakuna umaskini wala utajiri. Kila mtu na choice yake. Hao wazungu wakipelekwa Bukoba au Mbeya lazima wabadili utamaduni wao wa kiwaki.