Vale Nafaka atetemesha Nairobi na kuacha gumzo kila mahali.

Sasa huyo tukunyema ana urembo gani? Au wewe ndo Vale mwenyewe
Watu wanajipa promo tu.

Hata wenye ugonjwa wa matende nao watauleta hapa kama uzuri.

Na pengine inawezekana wanatafuta faraja tuwaache gmtu wapoze makali ya maisha.

Kuna Tukutuku Kumbakumba watawapenda tu dunia hii ukikosa wa kukupenda ni kosa lako mwenyewe hujajipangaza vizuri.
 
Huyo Binti ndio wewe sio?
 
Last time nilikueleza, tutume Wazee tukatoe posa kwa Vale Nafaka wako kabla wajanja wa Katoro hawajamwahi, wewe unachelewa chelewa

Angalia wasije wajanja wa Nairobi wakaondoka naye jumla jumla 🤪
 
Huyu Binti sio mbaya na sio mzuri ni wa kawaida tuu babanguuuu sasa ana mwili mkubwa tuu

Kuna tofauti ya haga, hips, paja hips, paja paja haha.... Haga hips, huyo wako sjui ikoje

Seran haiwezkn nichangie sherehe upost status nikwambie nani kakuchagulia hiko kitambaa au rangi unune.... Kwann upokee pesa yangu ??

Clock iiiiit 😆
 
We ni nani? Who are you?

Habari zote za vale nafaka we ndio unaezileta hapa jf, je upo kundi Gani katika hili:

1. Chawa wa vale nafaka, mpambe
2. Mfanyakazi wake
3. Unafukuzia mzigo pengine

Mkuu kama huna swaga omba msaada mkuu uvute chombo alafu kuhusu shepu Kuna watu wako vizuri pote, nisome chini huko nimekupostia chombo🤣🤣🤣
 
Anatetemesha kwa, kuonesha, makalio, sio innovation anayofsnya, kwenye kilimo na biashara zake,
Hizi mbwembwe tu, huwa, machale yananicheza nikiona mtu anasimulia deals Fulani inavyomuingizia pesa, na, akaanza, kushawishi na wengine wafanye ili wapate pesa,!!! Hapo kengele ya, hatari huanza, kutoa ishara!
Hakuna, tajiri duniani anayeweka jinsi anavyopata pesa, hata akitoa, Historia jinsi kampuni yake ilivyoanza, ataeleza, general information tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…