Vale Nafaka atetemesha Nairobi na kuacha gumzo kila mahali.

Kukaa kwangu mamtoni kumenifundisha kua wanawake wanene (full obesity) ni chakula ya maskini; matajiri na watu wote wenye pesa zao wengi wao wanapenda totoz nyembamba au medium sizes kwa lugha zetu wanawake portable. Wanene wanene kama huyu dada wanajulikana wagonjwa, wana obesity. Na ndio maana ngozi nyeusi na haswaa waafrika tunapenda matipwa tipwa ni shauri ya umaskini wetu.
 
Hao unao waita matajiri umeangalia vigezo Gani? Tajiri lazima ichukue mtoto alie Nona huwezi kua masikini ukahimiri demu mwenye shepu, hiyo ulaya uliokaa ni uzushi na utapeli sema huna pesa ya kumhudumia mwenye shepu wewe🤣
 
Mhh jamani Vale
 
Muda sio mrefu ngoma inapasuka hii maana inavuma sana.
 
Hao unao waita matajiri umeangalia vigezo Gani? Tajiri lazima ichukue mtoto alie Nona huwezi kua masikini ukahimiri demu mwenye shepu, hiyo ulaya uliokaa ni uzushi na utapeli sema huna pesa ya kumhudumia mwenye shepu wewe🤣
Sema wazungu wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana. Yaani wasichana wembamba hupendwa mno na hivi viumbe. Angalia Victoria Beckham alivyo.
 
Hakuna umaskini wala utajiri. Kila mtu na choice yake. Hao wazungu wakipelekwa Bukoba au Mbeya lazima wabadili utamaduni wao wa kiwaki.
 
KuNA NNI hapoo.... Au kisamakii!!?
 
Am a die hard secret admirer.

Hanijui na wala hilo sijali nachojali I love her with my life.
 
Sasa huyo tukunyema ana urembo gani? Au wewe ndo Vale mwenyewe
Sema tena na tena. Ama kweli wanaume tunatofautiana. Halafu maskini yeye mwenyewe inaonekana kama amepata ''kiburi'' akidhani ni mrembo anayetingisha dunia. Hawa ni wale wale sampuli ya kina Mariam biriani.
 
Sema wazungu wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana. Yaani wasichana wembamba hupendwa mno na hivi viumbe. Angalia Victoria Beckham alivyo.
Ni kweli mkuu ila kusema masikini ndio wanamiliki mademu yenye shepu kazingua, nambie ni masikini Gani anaweza himili shepu la kajala, nicolejoyberry, wolper, Irene uwoya ,aunt, wema wa kipindi kile,? Mkuu hayo ni mapenzi binafsi ila mwanamke akiwa mzuri alafu ana tako huyo sio level za masikini🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…