Vale Nafaka atetemesha Nairobi na kuacha gumzo kila mahali.

Idodomya huyu nashinda nae sana hana baya tukitoka kule tunatembea tembea darajani ruaha mbuyuni hapa
 
Hakuna umaskini wala utajiri. Kila mtu na choice yake. Hao wazungu wakipelekwa Bukoba au Mbeya lazima wabadili utamaduni wao wa kiwaki.
waafrika masikini mnaoishi kwenye bara la giza, bara masikini kuliko mabara yote duniani mnatetea upuuzi wenu uliojengwa kwenye misingi yenu ya umasikini 😀 😀 😀 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…